samahani wa dau kwa ukimya. niko dumilla (dubai) kwa muda, ila kaeni makao wa kula toka huku....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Shehe Michuzi,
    hivi wakaguru wanasalimianaje? Dumila huko ndio kwao, hebu tuelimishe...

    ReplyDelete
  2. Mzee mtoni sana.

    ReplyDelete
  3. Aisee inabidi uweke "glossary" (maelezo ya maneno) pale pembeni, manake watu wengine hawakawii kulalamika "oh michuzi, lugha zako za kihuni hatuzielewi!"

    Ninazozikumbuka:

    Bukoba = Boston
    Dakawa = Dallas
    Dumila = Dubai
    Newala = New York
    Ukerewe = UK

    Kama kuna niliyoisahau wengine mnisaidie...

    ReplyDelete
  4. mie mwenyewe nilichemsha hapa, yani nimekuna kichwa hiyo dumila ni wapi tena, mwanzo nilifikiri dumila ya ukweli ila nikajiuliza viazi vikowapi hapo...
    siunajua tena mambo ya viazi vitamu dumila, nakwambia hata nisingejua, kwani nimeanza kuona pic za mwanzo wa page, baadae kabisa ndo nakuja kukuta pic nyingine michuzi anasema yuko dumila 'dubai', inachangaya kweli kweli haluuuuuuuu, haya michuzi enjoy urself huko dumila

    ReplyDelete
  5. aah misupu wewe,naona upo daraja la manzese unapunga upepo,naona limekarabatiwa limependeza sana,na vp kuhusu vibaka wameisha?BY MANYUNYU

    ReplyDelete
  6. Ja hajafika Tokyo, ila akienda ataiita Tukuyu. Kachemsha michuzi, Dubai ni Dabaga na si Dumila, au vipi wadau?

    ReplyDelete
  7. Tokyo kashafika na alipaita Tukuyu, Minnesota alipaita Mwanza(or was it Musoma?) kama sikosei, Michuzi anafyatua jina akishafika hiyo sehemu...

    ReplyDelete
  8. anon hapo juu na wewe umechemsha, 'dabaga' ndo wapi tena, kajiografia bado kapo kichwani but sikumbuki ka kuna mji unaitwa dabaga, michuzi mwenzako anatumia majina ya miji, so hata kwenda nje ya hapo, hope ataita hivyo hivyo tukuyu au tuangoma labda, lol

    ReplyDelete
  9. we Brandmuge, kwa nini hata hukuchukua jitihada ya ku-google DABAGA na kuacha kuamini ka jiografia kako? Kwa hisani ya Maggid, angalia picha ya basi linaloenda huko Dabaga, http://www.jambophotos.com/displayimage--681.html
    Mh, hujui pia Dabaga ndo tomato sauce za TZ karibu nyingi zinatoka huko? nakupa hi Brandmuge

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...