Home
Unlabelled
dumilla
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shehe Michuzi,
ReplyDeletehivi wakaguru wanasalimianaje? Dumila huko ndio kwao, hebu tuelimishe...
Mzee mtoni sana.
ReplyDeleteAisee inabidi uweke "glossary" (maelezo ya maneno) pale pembeni, manake watu wengine hawakawii kulalamika "oh michuzi, lugha zako za kihuni hatuzielewi!"
ReplyDeleteNinazozikumbuka:
Bukoba = Boston
Dakawa = Dallas
Dumila = Dubai
Newala = New York
Ukerewe = UK
Kama kuna niliyoisahau wengine mnisaidie...
mie mwenyewe nilichemsha hapa, yani nimekuna kichwa hiyo dumila ni wapi tena, mwanzo nilifikiri dumila ya ukweli ila nikajiuliza viazi vikowapi hapo...
ReplyDeletesiunajua tena mambo ya viazi vitamu dumila, nakwambia hata nisingejua, kwani nimeanza kuona pic za mwanzo wa page, baadae kabisa ndo nakuja kukuta pic nyingine michuzi anasema yuko dumila 'dubai', inachangaya kweli kweli haluuuuuuuu, haya michuzi enjoy urself huko dumila
aah misupu wewe,naona upo daraja la manzese unapunga upepo,naona limekarabatiwa limependeza sana,na vp kuhusu vibaka wameisha?BY MANYUNYU
ReplyDeleteJa hajafika Tokyo, ila akienda ataiita Tukuyu. Kachemsha michuzi, Dubai ni Dabaga na si Dumila, au vipi wadau?
ReplyDeleteTokyo kashafika na alipaita Tukuyu, Minnesota alipaita Mwanza(or was it Musoma?) kama sikosei, Michuzi anafyatua jina akishafika hiyo sehemu...
ReplyDeleteanon hapo juu na wewe umechemsha, 'dabaga' ndo wapi tena, kajiografia bado kapo kichwani but sikumbuki ka kuna mji unaitwa dabaga, michuzi mwenzako anatumia majina ya miji, so hata kwenda nje ya hapo, hope ataita hivyo hivyo tukuyu au tuangoma labda, lol
ReplyDeletewe Brandmuge, kwa nini hata hukuchukua jitihada ya ku-google DABAGA na kuacha kuamini ka jiografia kako? Kwa hisani ya Maggid, angalia picha ya basi linaloenda huko Dabaga, http://www.jambophotos.com/displayimage--681.html
ReplyDeleteMh, hujui pia Dabaga ndo tomato sauce za TZ karibu nyingi zinatoka huko? nakupa hi Brandmuge