
ahmad michuzi junia (kati) akipozi na mista ebbo na mdau wa muziki majuzi. junia, ambaye ni naibu mhariri wa jarida la muziki la kitangoma na mpiga picha wake mkuu, pia ni mratibu wa tua za maonesho wa kampuni ya prime time promotions ambayo inaongoza kwa kuandaa shoo na kualika wasanii wa nje kuanzia wenge musika, koffi olomide, tshala muana, chakachaka, lucky dube mpaka kina shaggy, ja rule, jay-z na wengine kibao
acha kufagilia mdogo wako? au mtoto wako? Kitangoma haijawa updated sijui toka ianzishwe..ni aibu tupu ukibofya kingomangoma.com
ReplyDeleteAisee michu sio mchezo mmefanana na bwana mdogo wako.
ReplyDeleteSuphai lalalashe aii...anyore nale..
ReplyDelete