dumila kuna hama kama njugu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi wapi mshindi wa shindano lililopita??au mstari mfu bado kufika tunaweza kujibu!!?

    ReplyDelete
  2. Ah sasa kwa nini wasitese na Hama wakati visima vya wese wanavyo na mavumba wanayo ya kuchezea. Hao jamaa bwana Mungu kawaweka Edeni. Sasa naamini kweli bustani ya Edeni ilikuwa maeneo ya kapo Mido-East !!

    ReplyDelete
  3. Michu eh, basi bana inatosha..Tushetosheka na picha za Dubai..kila kukicha dumilaaa dumilaaa...Aaah bwana we

    ReplyDelete
  4. misupu hilo pozi!umenimaliza.

    ReplyDelete
  5. Michuzi, asante kwa mapicha ya “dumila” na hivyo “vya kisasa” that dangle before our eyes.

    Ukweli ni kwamba vinatokana na wingi wa mapesa ya mafuta, kitu ambacho hukukizingatia. Niandikapo sasa hivi, kampuni kubwa yenye stake katika majambo hayo ya mafuta na kujenga Mashariki ya Kati ni Halliburton - ile ya Halliburton, kampuni ya wakina Dick Cheney - iliyokuwa na makao yake makuu mjini Houston, Texas.

    Leo hii imetangazwa kuwa makao yake hayo yatahamia katika mji uuitao, “dumila”. Wenye kufuatilia majambo hayo wa upande wa Democrat Party hapa Amerika wamekuja juu wakidai eti kampuni hiyo inakwenda huko kuogopa kulipa kodi!

    Mkonsevativu Henry Kissinger, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, na Mkuu wa Usalama wa Amerika, aliwahi kuulizwa kwa nini Amerika hujihusisha sana na mgogoro wa Mashariki ya Kati (Middle East).

    Kwa kujibu, alitamka:

    It is the Detroit cars that give value to Arab oil; their camels do not drink that oil. If there is a tyrant or anyone wanting to control the oil, we shall use all forces to ensure a free flow of that oil to Western countries.

    Mkonsevativu mwingine William Buckley, Jr. mwandishi wa makala katika magazeti ya Kikosevativu hapa Amerika, na mwanahabari wa public TV, aliwahi kusema:

    All the natural resources of the world are randomly distributed by providence. They are, thus, as free as the Westerly Winds or the air we breathe. No one controls that air. We are not going to allow anybody or an institution to control them (akiwa na maana ya Umoja wa Mataifa kutaka madini nyeti yaliyoko kwenye floor of the deep seas/oceans to be controlled by The Law of the Sea Conference, as heritage for mankind).

    Naye Mkonsevativu mwingine James A. Baker III, at one time Chief of Staff na Waziri wa mambo ya Nchi za Nje, alipobanwa na waandishi wa habari wa hapa Amerika kutoa sababu kwa nini Amerika imeishambulia Iraq (kufuatia Iraq kuivamia na kuinganisha Kuwait), alitamka;

    Oil. Oil sustains jobs.

    ReplyDelete
  6. mzee vp inakufaa hiyo tuku fanyie mchango ukawatese wabongo,michuzi unarudi lini bongo maana tumemiss sana ya bongo mzee

    ReplyDelete
  7. michuzi mbona huoneshi kama dumila kuna LAMBOGHIN? HAMA MACHINE NDOGO NIPE MAMBO YA L`GHIN NIONE WALAU 2005 MODEL.

    ReplyDelete
  8. he kwani kaka bado hujarudi....au mmekatiwa fungu mrudi kuzurura mtaani baada ya ndege kugota??

    ReplyDelete
  9. Michuzi hilo mbona kama Jeep new model, Sio Hammer

    ReplyDelete
  10. Anoni, Wednesday, March 14, 2007 5:13:00 PM, hilo Hummer, civilian version, ni cheap, ndo maana hata hawajaliandika hapo mbele ya radiator maandishi "HUMMER", ila tofauti ya jeep na hummmer ni umbali kati ya taa na indicator, kwenye hummer, indicator iko mbali sana na head lump, jeep indicator ziko karibu sana na head lamp. Zikiwa mbali, ziko chini ya head lamp na sio pembeni yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...