
kamati ya miss tz ikipozi na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya bagamoyo mh. hawa ngulume na miss tz 2005 nancy sumary hoteli ya paradise holiday resort wakati wa maandalizi ya shindano la miss tz mwaka jana. pilika za kumsaka mrithi wa wema sepetu mwaka huu zimeshaanza na huenda kitongoji cha miss dar city centre kikafunua pazia mwanzoni mwa mwezi ujao. toka kushoto ni makoye (mkuu wa itifaki), ricco (afisa habari), dk. shah (mratibu wa majaji) anko lundenga (mkurugenzi), majaliwa (katibu mkuu) na tall (msimamizi wa maandalizi
Mmh,hii kamati mbona ni wanaume tu jamani,hakuna gender sensitivity hapo.Ina maana huko nyumbani hakuna akinamama waliojitokeza kwenye kamati hiyo au ni vigezo gani vinatumika hapo?tukizingatia suala zima ni la warembo (kina dada).Mmh,mimi naona haijakaa vizuri kabisaaaaaaa.
ReplyDeletehivi..!jamani, serikali haiwezi kuingilia kati ikaivunjilia mbali kamati hii na kuundwa nyingine..? nisaidieni.! maana tumechoka na madudu ya kila mwaka.!
ReplyDeletenawakilisha
tired ol faces
ReplyDeleteWanaume ndio wanaojua uzuri wa wanawake , wenyewe hawaujuwi.
ReplyDeleteLazima hao watest uzuri wa kitu ndio wakipitishe sasa mwanamke ataweza hiyo kazi?, ndio maana kila mwaka wanapitisha watu waajabu tu.
Hiyo kamati tumechokanayo kwa kweli, ibadilishwe kama kunauwezekano.
ReplyDeleteMama Hawa Ngulume una Boobs nzuriiiii!!!
ReplyDelete