kamati ya miss tz ikipozi na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya bagamoyo mh. hawa ngulume na miss tz 2005 nancy sumary hoteli ya paradise holiday resort wakati wa maandalizi ya shindano la miss tz mwaka jana. pilika za kumsaka mrithi wa wema sepetu mwaka huu zimeshaanza na huenda kitongoji cha miss dar city centre kikafunua pazia mwanzoni mwa mwezi ujao. toka kushoto ni makoye (mkuu wa itifaki), ricco (afisa habari), dk. shah (mratibu wa majaji) anko lundenga (mkurugenzi), majaliwa (katibu mkuu) na tall (msimamizi wa maandalizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mmh,hii kamati mbona ni wanaume tu jamani,hakuna gender sensitivity hapo.Ina maana huko nyumbani hakuna akinamama waliojitokeza kwenye kamati hiyo au ni vigezo gani vinatumika hapo?tukizingatia suala zima ni la warembo (kina dada).Mmh,mimi naona haijakaa vizuri kabisaaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. hivi..!jamani, serikali haiwezi kuingilia kati ikaivunjilia mbali kamati hii na kuundwa nyingine..? nisaidieni.! maana tumechoka na madudu ya kila mwaka.!

    nawakilisha

    ReplyDelete
  3. tired ol faces

    ReplyDelete
  4. Wanaume ndio wanaojua uzuri wa wanawake , wenyewe hawaujuwi.
    Lazima hao watest uzuri wa kitu ndio wakipitishe sasa mwanamke ataweza hiyo kazi?, ndio maana kila mwaka wanapitisha watu waajabu tu.

    ReplyDelete
  5. Hiyo kamati tumechokanayo kwa kweli, ibadilishwe kama kunauwezekano.

    ReplyDelete
  6. Mama Hawa Ngulume una Boobs nzuriiiii!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...