Home
Unlabelled
kanzu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kanzu gani hilo oversize kwako hilo.Mimi sikujua ni wewe Michuzi nilifikiri ni mja mzito wa Huko Dubai amevaa nguo la maternity wanalovaa wajawazito.Kumbe ni wewe Michuzi, Kaka Michuzi una vituko!Bado siamini kama ni wewe.
ReplyDeleteha ha ha , umependeza na hiyo kanzu mazee. nadhani watu hawajatoa comment kwa sababu hawana uhakika ni chata gani. yawezekana ni nike, tommy au rocawear hiyoo ?... just kidding, hongera , nakutakia maisha mema .
ReplyDeleteAsante kwa kutuletea nyuuz za dumila, na kweli umependeza hiyo kanzu!!
ReplyDeleteMichuzi, umetuonyesha maeneo ya ya biashara na kiutawala zaidi. hebu jaribu kutembelea manzese na buguruni za huko ili tuone maisha ya mwana-imarati wa kawaida yakoje maeneo ya pembezoni...! pamoja na shughuli zao za kiuchumi mf. mama-lishe, uchuuzi, chips-kuku, machinga, kilimo n.k.
Huko hakuna wana blog au wabongo? mbona hatuoni picha zao au wanakaa manzese na wewe unatembelea posta mpya ya huko? ukikutana nao tunaomba sura zao hata kama wanapiga box
ReplyDeleteMashaalah kanzu nzuri lakini Rangi mwinyi wangu ni dizasta
ReplyDeletehalafu nadhani unajua ni akina nani wanavaa kazi zenye mikono mifupi
nenda kanunue kanzu rangi nyeupe yenye mikono mirefu
mikono mifupi shekhe msikitini kwetu itabidi uswali peke yako yaani sala ya fardhi hatuwei kukubali
ustaadhi michu, utamu wa kanzu ni kuwa na kobazi na baraghashia!! vipi ulisahau kuulizia? pamoja na yote, umependeza mshkaji!!!
ReplyDelete1. Rangi rasmi ya kanzu ni ipi, hebu tusaidieni wale tusioelewa!
ReplyDelete2. onyesha picha za watu na maeneo ya watu wa kima cha chini, pamoja na shughuli zao; au wote huko dubai wameuchinja?
kweli kanzu imekupendeza,umekuwa kama shehe ubwabwa, sijui kama ulikumbuka japo ndizi.
ReplyDeletemzee mwenyewe hiyo kanzu niya kulalia (pajama)tena unavaa kwa yenyewe wamanga, kweli ni kichekesho.
ReplyDeleteSheikh wangu hilo kanzu ni la kulalia yakhe hawajakushangaa wamanga huko usinde nalo tena masjid ustaadh,kwa huku bongo poa tu lakini huko noma.
ReplyDeleteHatuna usemi kwasababu tukisema tutaitwa wanga. Naona umependa hii rangi kweli mara tumeona picha ya kanzu rangi hii hii na mikono mirefu sasa tena naona hii na mikono mifupi.
ReplyDeleteUkweli umependeza ila sijui kanzu rangi zake ni zipi au kuna options? Mimi nataka kanzu ya pink