
kocha wa taifa staaz marcio maximo akiwa na mwanamuziki kida waziri na watoto leo. maximo angali akiheshimika kwa mikakati yake ya kukuza soka la bongo na kila aendapo watu humtia moyo kwa kumwambia kipigo cha senego kisimkatishe tamaa. kida ambaye alitamba sana enzi za vijana jazz ya hayati maneti ameamua kurudi jukwaani na hivi sasa anaanda vituz akiwa na mwanamuziki prodyuza omari mkali


wabongo walieneza kipindi fulani kuwa huyu Kida Waziri amevuta? Mie nilijua kweli..Manake alikuwa anatoka na Maneti na maneti aliondoka kwa gonjwa jipya..kumbe bado yupo? basi kumbe dawa za kuongeza maisha? nguvu? zinafanya kazi
ReplyDeletemichuzi kwa heshima na taadhima naomba wimbo kida waziri yaani nimemkumbuka juzi tu leo napita hapa kwako nakuta picha yake ,dahaaa nimekumbuka mbali sana ,
ReplyDeletekwanza mngejiuliza oghoo
kipi ananipendea oghh
manadhani ni miti shamba
na mapenzi hayana dawa
jamani nifanye nini kia nifanye nini naelewa mazoea yanatabu lakini nitajitahiidi kusahau,
chonde michuzi nitafutie wimbo huo kaka yangu
Duu mwana dada bado yupo oda, watoto wake kama wadogo zake nimempenda. na huyo jamaa pembeni saiz yake, Kida usimuache, ila namshauri jamaa atumimie mipira.
ReplyDeleteHivi Maksimo anakula mzigo nini? Yah, upweke sometimes noma!
ReplyDelete