tehe tehe tehe.... mtachonga sana mwaka huu...



Eidur Gudjohnsen's late goal left Liverpool hanging on against Barcelona before reaching the last 16 of the Champions League on away goals.


The former Chelsea star rounded Pepe Reina after 75 minutes to leave Liverpool, who had dominated, living on their nerves in the closing stages.


John Arne Riise and Momo Sissoko both struck the bar as Liverpool left Barcelona's stars in the shade.


Ronaldinho hit a post, but Liverpool deserved to reach the quarter-final...


hahahaahahaaaaa! mpo hapo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. TUMEKUBALI MICHUZI KWANI KUMCHINJA KOBE KAZI!! POA TUMEKUBALI MATOKEO

    ReplyDelete
  2. Ukiona mwenzako kanyolewa na wewe tia kichwa maji maana liverpool msitegemee tutaweka tembo maji...wembe ni ule ule, tunasubiri afuataye...

    ReplyDelete
  3. Mhh mnatuboa tuu,hamna lingine!najua michuzi hutairusha hewani,ila umezidi sana kutubania.

    ReplyDelete
  4. Nimekubali ila Kazi bado mnayo.

    ReplyDelete
  5. Hongera Bwawa la maini kwa kuweza kuwaondosha wanakatalunia nje ya matokeo; inabidi msikilizie mtapangwa nani kwenye nane bora

    ReplyDelete
  6. michuzi mmponea chupuchupu congatulanion lakini league home unachemsha any move on

    ReplyDelete
  7. WALK ON, WALK ON, WITH HOPE IN YOUR HEART, AND YOU'LL NEEEEEEEEEEEEEEEEVER WALK ALONE, YOU'LL NEEEEEEEEEEEVER WALK ALONE!

    ReplyDelete
  8. Ukiwa shabiki wa Liverpool huwezi kucheka mpaka mpira uishe maana hiyo timu huwa haitabiriki. Kwa hiyo Michuzi usishangilie sana na mkaja kutolewa kwenye ngazi ya robo fainali!

    ReplyDelete
  9. When you walk through a storm
    Hold your head up high
    And don't be afraid of the dark
    At the end of the storm
    Is a golden sky
    And the sweet silver song of a lark

    Walk on through the wind
    Walk on through the rain
    Tho' your dreams be tossed and blown
    Walk on, walk on
    With hope in your heart
    And you'll never walk alone
    You'll never walk alone

    Ijumaa kwenye draw ya quaters tunawataka mashetani wekundu wale habari yao na wao.....kwenye ligi wamechukua pointi 6 lazima tulipize kwenye cl tumalizane season hii.....msimu ujao tuanze fresh!!!!

    ReplyDelete
  10. Ni furaha tele wakuu,tunawasubiri wengine nao ijumaa tujue tuje na mbinu gani Rafa ni Kichwa

    ReplyDelete
  11. AISEE Michuzi......hivi kumbe hata wazungu ni wachawi? haiwezekani kukosa mabao yote yale????? yaani besela mbili, goal line clearance, na fantastic double save ya v. valdes. hivi naoba niulize maana kuuliza si ujinga... hivi kuna mtu anakumbuka mchezaji yoyote wa barca kupiga hata shuti moja ktk kipindi cha kwanza jana? pili, hivi Etoo alikuwemo mechi ya jana??

    ReplyDelete
  12. mmebahatisha! angalia chama kubwa linavyofanya mavitu ya kiutu uzima leo usiku ndani ya old trafford

    ReplyDelete
  13. wachumba wetu Mmepita!!! Ongera sana
    IM REAL GUNNER

    ReplyDelete
  14. Man U na wabeba mizinga leo ni nje tu. Champions league huwa ni kwa ajili ya wanaume wa shoka "The Reds."

    ReplyDelete
  15. Misupu, wana imarati ndiyo hivyo washafungashwa virago na PSV Eindhoven, walikuwa wanapiga tambo za bwawa la maini kushinda jana oooh, sasa kimewatokea puani wameshindwa kufunga kabisa zaidi ya kucheza show game tumsikie kocha wao arsene whinner (wenger) atatoa sababu gani tatizo wanapiga peleche kabla hawajavuka mto wenye mamba wengi

    ReplyDelete
  16. Mganga hajigangi. Michuzi mzuri kweli kwa kuchukua picha za watu wakipose vizuri. Lakini mapozi yake mimi yananiacha hoi. Kama katoka kishumundu jana. Unaionea camera aibu?

    ReplyDelete
  17. HATS OFF MICHUZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...