
tehe tehe tehe.... mtachonga sana mwaka huu...
Eidur Gudjohnsen's late goal left Liverpool hanging on against Barcelona before reaching the last 16 of the Champions League on away goals.
The former Chelsea star rounded Pepe Reina after 75 minutes to leave Liverpool, who had dominated, living on their nerves in the closing stages.
John Arne Riise and Momo Sissoko both struck the bar as Liverpool left Barcelona's stars in the shade.
Ronaldinho hit a post, but Liverpool deserved to reach the quarter-final...
hahahaahahaaaaa! mpo hapo?
TUMEKUBALI MICHUZI KWANI KUMCHINJA KOBE KAZI!! POA TUMEKUBALI MATOKEO
ReplyDeleteUkiona mwenzako kanyolewa na wewe tia kichwa maji maana liverpool msitegemee tutaweka tembo maji...wembe ni ule ule, tunasubiri afuataye...
ReplyDeleteMhh mnatuboa tuu,hamna lingine!najua michuzi hutairusha hewani,ila umezidi sana kutubania.
ReplyDeleteNimekubali ila Kazi bado mnayo.
ReplyDeleteHongera Bwawa la maini kwa kuweza kuwaondosha wanakatalunia nje ya matokeo; inabidi msikilizie mtapangwa nani kwenye nane bora
ReplyDeletemichuzi mmponea chupuchupu congatulanion lakini league home unachemsha any move on
ReplyDeleteWALK ON, WALK ON, WITH HOPE IN YOUR HEART, AND YOU'LL NEEEEEEEEEEEEEEEEVER WALK ALONE, YOU'LL NEEEEEEEEEEEVER WALK ALONE!
ReplyDeleteUkiwa shabiki wa Liverpool huwezi kucheka mpaka mpira uishe maana hiyo timu huwa haitabiriki. Kwa hiyo Michuzi usishangilie sana na mkaja kutolewa kwenye ngazi ya robo fainali!
ReplyDeleteWhen you walk through a storm
ReplyDeleteHold your head up high
And don't be afraid of the dark
At the end of the storm
Is a golden sky
And the sweet silver song of a lark
Walk on through the wind
Walk on through the rain
Tho' your dreams be tossed and blown
Walk on, walk on
With hope in your heart
And you'll never walk alone
You'll never walk alone
Ijumaa kwenye draw ya quaters tunawataka mashetani wekundu wale habari yao na wao.....kwenye ligi wamechukua pointi 6 lazima tulipize kwenye cl tumalizane season hii.....msimu ujao tuanze fresh!!!!
Ni furaha tele wakuu,tunawasubiri wengine nao ijumaa tujue tuje na mbinu gani Rafa ni Kichwa
ReplyDeleteAISEE Michuzi......hivi kumbe hata wazungu ni wachawi? haiwezekani kukosa mabao yote yale????? yaani besela mbili, goal line clearance, na fantastic double save ya v. valdes. hivi naoba niulize maana kuuliza si ujinga... hivi kuna mtu anakumbuka mchezaji yoyote wa barca kupiga hata shuti moja ktk kipindi cha kwanza jana? pili, hivi Etoo alikuwemo mechi ya jana??
ReplyDeletemmebahatisha! angalia chama kubwa linavyofanya mavitu ya kiutu uzima leo usiku ndani ya old trafford
ReplyDeletewachumba wetu Mmepita!!! Ongera sana
ReplyDeleteIM REAL GUNNER
Man U na wabeba mizinga leo ni nje tu. Champions league huwa ni kwa ajili ya wanaume wa shoka "The Reds."
ReplyDeleteMisupu, wana imarati ndiyo hivyo washafungashwa virago na PSV Eindhoven, walikuwa wanapiga tambo za bwawa la maini kushinda jana oooh, sasa kimewatokea puani wameshindwa kufunga kabisa zaidi ya kucheza show game tumsikie kocha wao arsene whinner (wenger) atatoa sababu gani tatizo wanapiga peleche kabla hawajavuka mto wenye mamba wengi
ReplyDeleteMganga hajigangi. Michuzi mzuri kweli kwa kuchukua picha za watu wakipose vizuri. Lakini mapozi yake mimi yananiacha hoi. Kama katoka kishumundu jana. Unaionea camera aibu?
ReplyDeleteHATS OFF MICHUZI
ReplyDelete