Home
Unlabelled
maduka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli tembea uone.Huku hakuna cha Ijumaa wala jumapili.Hela ya kula unipata siku hiyo hiyo lazima uitafute iwe ijumaa au jumapili iwe siku ya kazi au sikukuu.
ReplyDeleteWaambie waje Bongo halafu wasifungue maduka yao siku nzima iwe ijumaa au jumapili kama hawajafa kwa njaa huku.
Hapa Bongo Ijumaa au jumapili au sikukuu ndiyo siku za kazi zaidi kwa watu kama wewe Michuzi kuzurura na kakamera kako hapa na pale ukiokota shilingi ya kupiga watu picha.
Bongo huwezi mtu thubutu kulala siku nzima iwe baada ya swala iwe ya ijumaa au jumapili kesho huamki utakuwa huna hata nauli ya kwenda kokote na kama una mke unaweza mkuta kaondoka kaenda kujiuza mbele kwa mbele.
michuzi ungekwenda ibn batuta mall,mall of the Emirates.Lamcy huko hakufungwi hata Ijumaa
ReplyDelete