huku hakuna mgao wala nini. malaiti yanawaka masaa ishirini na ushee. kuna mdau kaomba kujua wanatumia nishati gani wenzetu. namwomba atembelee google na kutafuta dubai's energy source. wadau wengine si vibaya kupiga chebo uchambuzi wa mchakato wa kuwa na federesheni ya ist afrika mashariki kwa kubfya hapo chini
Home
Unlabelled
malaiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Issah rudi home bwana tun- miss nyuzi za home acha na hao waruguru warefu wa dumila -dubai
ReplyDeleteBwana michuzi tunashukuru sana kwa msaada wa website yako, lakini pia tunasikitika kwani lengo nikupata habari ,maoni n'k . kwa kipindi cha mwishoni mwa wiki umekuwa unatuwekea picha za kujisifu tuuuuu!! toka umeenda huko dubai na hao marafiki zako watangazaji wa redio. tunaomba tuende na wakati, kwani kama ni hivyo kuna watu wengi tu, na wanafanya makubwa kushinda hayo na wapo kimya tuuu. tunakuomba hii tabia iishe. au pengine lengo la gazeti ni kujisifu? nani yuko wapi na anafanya nini? kwa maoni yangu haya mambo yanaboa,si vibaya yakiwepo lakini kwa sasa yamezidii.
ReplyDeleteKuna mbongo aliandika hivi.
ReplyDelete"Tuelimishane Wadau,
Nikitaka kununua Gari Dubai utaratibu upoje? Naomba Msaada. manake niliuliza watu wakawa wananiletea za kuleta wakitaka niwape 'dili'. nikashtuka kimtindo"
Jibu nenda hii site it is so easy and very good customer service. Just like abc ila sio dubai kwa hiyo nadhani tofauti yake itakua shipping cost. Jaribu kucompare lakini from Japan you will have piece of mind and you will receive waht you real ordered. I don't have any experience about this country.
http://www.batfa.com/usedvehicles-toyota-stock.html
Mji wetu Hauwezi kutanuliwa mabarabara kama hayo sababu umejengwa Kihindi sana Michuzi Mataa kama hayo ni kwenye mabarabara makubwa kama hayo
ReplyDelete