barabara ya sam nujoma ishaanza kuwekwa lami na mkandarasi anafanya kazi usiku na mchana ili kuupiga mstari mfu wa mwisho wa mwezi huu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Issa, swala sio kuulenga mstari mfu, bali ni kutaka wafanye kazi nzuri. Na isiwe ni kutengeneza bara bara ambayo inaharibika baada ya miezi mitatu! Maana wababaishaji wamekuwa wengi sana kwenye hii biashara ya uhandisi hapo kwetu! Kama Mwenge kile kituo kimekula mamilioni lakini kazi iliyofanyika ni sufuri!!!!

    Nina imani huyu muhandisi atajitahidi..Ila kama ni Muhindi, mimi siku hizi nimepoteza imani na hawa watu.(sio chuki wala nini)..Wahindi bongo wamezidi kwa ubabaishaji! Wanakuja kama wawekezaji, wakishapewa tenda wanafanya kazi kwa kulipua tuuuuu!! Ilmradi wanapata chao! Anywaw lets hope for the best kwenye hii barabara maana ni ya muhimu sana. Labda itasaidia kupunguza foleni Morogoro road na kwingineko!

    ReplyDelete
  2. hivi safari ya Ghana wewe haupo?

    ReplyDelete
  3. Safari ya Ghana angeenda JK michizi angekwepo! lakini kaenda mwenye ubia na jk.

    ReplyDelete
  4. Kuhusu makandarasi, nimefurahi sana kusikia barabara ya Kilwa wanaijenga Kajima. Ingekuwa amri yangu barabara zote zinge desainiwa na kujengwa na wajapani kwani zingine zote walizojenga locals zimetkea kuwa takataka kabisa.

    ReplyDelete
  5. jamani hivi jk anasafiri tena?? duuuu,,ss anakaa ofisini kwake saa ngapi??na muda ndio unaenda...

    ReplyDelete
  6. Chondechonde Michuzi,Tunaomba hao wahusika hizi Barabara jamani ziwekewe Zebra cross.Mbona ni kitu kidogo sana.Yaani Zebra cross zinawekwa barabara za wanapokaa vigogo tu!Barabara ya Tandale yote (zaidi ya 5 km) haina zebra cross,the same kwa barabara inayoenda Sam Nujoma Kutokea Sinza,na ile ya Afrika Sana.Au wanadhani watoto wa huku uswahilini hawana thamani,hata wakigongwa?By the way hata watu wazima wanatakiwa kuvuka ktk zebracross.Tafadhali jamani,Tunaomba zebra cross barabara zote mpya na zilizopo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...