Home
Unlabelled
omar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MWENYEZI MUNGU AIPE FARAJA KATIKA WAKATI HUU MGUMU FAMILIA YA MAMA KOPA. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA.
ReplyDeleteSHAWNEE, KS-913
Wow! yaani hata siamini. Ingawaje simfahamu lakini roho imeniuma sana. Yaani ni mdogo sana. Mungu mwenyewe ndio anayejua na yote twamwachia yeye.
ReplyDeletePoleni wafiwa na Mungu ailaze roho yake peponi.
Masikinii::Wamependeza kweli hapo::Pole sana Bi Khadija Kopa na wapenzi wote wa Taarab
ReplyDeleteyaani nimepigwa na butwaa KUANGALIA TU HII PICHA NIKASEMA HUYU SI NI MTOTO WA KHADIJA KOPA? JAMANI IMEKUWAJE,? NILIMWONA LONDON MIAKA MINNE ILIYOPITA ALIKUJA NA AKAPERFORM WEMBLEY STADIUM, JAMANI, AMEKUFA LINI, NA AMEKUFA NA NINI JAMANI?
ReplyDeletePOLENI SANA, WAFIWA, SIJUI KWANINI WATU WAUNGWANA NDIO WANATUTANGULIA MAPEMA HIVI, MIJITU MINGINE YENYE ROHO MBAYA NA KUTREAT WENZAO VIBAYA, NA KUWADHULUMU KAMA KINA PETER, NA ALE WANAZIDI KUISHI TU, HII SIO HAKI, WATU WENGINE HAWASTAHILI KUISHI.
MUUNGWANA KAMA OMAR JAMANI NDIYE ALIYESTAHILI KUISHI.
POLENI SANA, MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA OMAR. AMINA.
mijitu mingine bwana, utadhani walimpima
ReplyDeleteWE ANONY HAPO JUU ACHA KUONGEA UPUZI.WEWE NDIO WASTAHILI KUISHI?NANI ANAIJUA ROHO YAKO? ACHA KUTAJA MAJINA YA WATU HOVYO,KUFA KWANZA WEWE.NOBODY DESERVE DEATH,STOP BEING STUPID.
ReplyDeletenilimuona omary mala ya kwanza ktk mkanda wa harusi unguja anaimba kipindi hicho mdogo sana!miaka 17 hivi,toka siku hiyo nilipenda sana nyimbo zake,kweli khadija kapoteza rafiki muhimu sana kwake!nampa pole na mungu amlaze mahali pema peponi Amin.tumepata pengo kubwa sana kwa wapenzi wa taarabu!
ReplyDelete