hayati omar akiwa na mama yake aliemsindikiza kuyakua tuzo la mwimbaji bora wa taarab mwaka juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. MWENYEZI MUNGU AIPE FARAJA KATIKA WAKATI HUU MGUMU FAMILIA YA MAMA KOPA. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA.
    SHAWNEE, KS-913

    ReplyDelete
  2. Wow! yaani hata siamini. Ingawaje simfahamu lakini roho imeniuma sana. Yaani ni mdogo sana. Mungu mwenyewe ndio anayejua na yote twamwachia yeye.
    Poleni wafiwa na Mungu ailaze roho yake peponi.

    ReplyDelete
  3. Masikinii::Wamependeza kweli hapo::Pole sana Bi Khadija Kopa na wapenzi wote wa Taarab

    ReplyDelete
  4. yaani nimepigwa na butwaa KUANGALIA TU HII PICHA NIKASEMA HUYU SI NI MTOTO WA KHADIJA KOPA? JAMANI IMEKUWAJE,? NILIMWONA LONDON MIAKA MINNE ILIYOPITA ALIKUJA NA AKAPERFORM WEMBLEY STADIUM, JAMANI, AMEKUFA LINI, NA AMEKUFA NA NINI JAMANI?
    POLENI SANA, WAFIWA, SIJUI KWANINI WATU WAUNGWANA NDIO WANATUTANGULIA MAPEMA HIVI, MIJITU MINGINE YENYE ROHO MBAYA NA KUTREAT WENZAO VIBAYA, NA KUWADHULUMU KAMA KINA PETER, NA ALE WANAZIDI KUISHI TU, HII SIO HAKI, WATU WENGINE HAWASTAHILI KUISHI.
    MUUNGWANA KAMA OMAR JAMANI NDIYE ALIYESTAHILI KUISHI.
    POLENI SANA, MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA OMAR. AMINA.

    ReplyDelete
  5. mijitu mingine bwana, utadhani walimpima

    ReplyDelete
  6. WE ANONY HAPO JUU ACHA KUONGEA UPUZI.WEWE NDIO WASTAHILI KUISHI?NANI ANAIJUA ROHO YAKO? ACHA KUTAJA MAJINA YA WATU HOVYO,KUFA KWANZA WEWE.NOBODY DESERVE DEATH,STOP BEING STUPID.

    ReplyDelete
  7. nilimuona omary mala ya kwanza ktk mkanda wa harusi unguja anaimba kipindi hicho mdogo sana!miaka 17 hivi,toka siku hiyo nilipenda sana nyimbo zake,kweli khadija kapoteza rafiki muhimu sana kwake!nampa pole na mungu amlaze mahali pema peponi Amin.tumepata pengo kubwa sana kwa wapenzi wa taarabu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...