Liverpool
25 Reina
03 Finnan
23 Carragher
05 Agger
02 Arbeloa
08 Gerrard
22 Sissoko
14 Alonso
06 Riise
18 Kuyt
17 Bellamy

Substitutes
01 Dudek,
04 Hyypia,
12 Aurelio,
15 Crouch,
16 Pennant,
20 Mascherano,
32 Zenden

Barcelona
01 Valdes
21 Thuram
04 Marquez
05 Puyol
23 Oleguer
06 Xavi
24 Iniesta
20 Deco
19 Messi
09 Eto'o
10 Ronaldinho

Substitutes
25 Jorquera,
07 Gudjohnsen,
08 Giuly,
11 Zambrotta,
15 Edmilson,
16 Sylvinho,
22 Saviola

Ref: Herbert Fandel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Tusubiri, dk 90

    Usije ukaacha kuweka maoni yetu ukakimbilia kulala,

    Kila la kheri , bwawa la maini

    Kila la keri MIM

    ReplyDelete
  2. liverpool wamekuwa na mwanzo mzuri, i hope michuzi kitini hapakaliki....wanashumbulia kweli kweli.

    chelsea wako wani nil dawn dhidi ya porto pale stamford bridge.sisi wadau wa imarati mambo yetu kesho, ushindi pekee ndiyo salama yetu.

    ReplyDelete
  3. michuzi hongera, you are through kwa kuichapa barcelona.lakini hapa nina hoja binafsi ambayo siyo ya soka moja kwa moja.

    kuhusu hili swala la vyeti vya kughushi, hivi vijana wa tanzania wanajifunza nini kwa kuona mbunge aliyechonga vyeti akiruhusiwa kuendelea na wadhifa wake kwa madaha namna hii?

    mwishowe nchi itaongozwa na wapumbafu watupu, lazima waliotumia muda wa maisha yao kujielimisha waheshimiwe na kutuzwa, siyo wababaishaji, kama huyu, ndiyo maana nchi inauzwa bei ya reja reja kwa hasara na hakuna anayeshtuka.

    ReplyDelete
  4. Michuzi!
    Hongera! Leo mmenifurahisha kwa kandanda murua!

    ReplyDelete
  5. WADAU WOTE WA ANFILED!!! Hongera sana!!!

    Oyaa mnaotaka kuchonga mchonge sasa!!!! Liverpool!!!!!!!!!!!!!! Never walk alone......ushindi ni ushindi tuu!!!! Jamani..Kweli tumejitahidi.... Kaka Issa, kama nilivyosema..this is a footbal for men not for boys!!!!! Huleeeeeee Liverpool!!!! We are just waiting for the replica of Istanbul 2005!!!

    ReplyDelete
  6. Hongera bwana michu sasa subiri moto wa chelsea 3/4/2007

    ReplyDelete
  7. HAKUNA MASWALI BWANA ISSA ILA INABIDI UJIANDAE SANA KWANI MBELE KUNA MOTO UNAKUJA ,NASI WASHIKABUNDUKI WA IMARATI KESHO TUNATARAJIA KUFANYA MAMBO HONGERA SANA!

    ReplyDelete
  8. Wana wa Imarati muziki wenu mdogo mmetolewa na PSV Eindhoven, msitoe visingizio maaana mmepata nafasi kibao za kufunga lakini mnataka kucheza show game, msimu hampati kitu maana mmekosa carling cup na FA mmeshaondolewa majonzi tupu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...