wali nyama rosti, maharage ya mebya pamoja matoke na msusa nimefaidi leo hapa dumila. tatizo mchele wao ni wa kitumbo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hapo ni ZANZIBAR HOTEL DUBAI

    ReplyDelete
  2. ...brother michuzi unapenda sana kula wewe...maana picha zako nyingi ni kula kula tuu,lakini hapo brother naona ilikuwa ni food feast ya nguvu hapa mate yanitoka...duhh!

    ReplyDelete
  3. Mwana angalia sana Rift Valley Fever nasikia huko dumila watu 21 wameshasombwa na hilo gonja

    ReplyDelete
  4. Naona upo Burj al Arab

    ReplyDelete
  5. huyu jamaa anaumwa kagonjwa nini????

    ReplyDelete
  6. Hey mwacheni Michuzi nani asiyependa kula. Na hata kama anakula vipi lakini angalieni figure yake. Nyie msiopenda kula au mnaolia jikoni lakini minene kama nini.
    Michuzi enyoy your life as long you know what you put in your body gp for it and don't listen to anybony.

    huo msosi ni wa nguvu....

    ReplyDelete
  7. kwa raha zako kaka
    nilivyomiss msusa huo jamani
    dah natamani nami nirukie misosi yako lol!

    yaani ulijinafasi kinyama
    kula kwema kaka

    ReplyDelete
  8. Kaka Michuzi angalia shavu hilo litazidi kwahiyo misosi unayoifanyia, punguza kidogo usije ukapata magonjwa.

    ReplyDelete
  9. NISAIDIENI JAMANI,HUO MSUSA NDIO MBOGA GANI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...