afisa toka kampuni ya sigara teweli teweli akiwa na kundi la wanaume halisi wa tmk akiongelea juu ya udhamini wa kampuni yake kupitia fegi ya sm wa albamu ya ndege tunduni leo idara ya habari maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duu Hii Kali Wasikilizaji Wamepata Viti Wasanii Ambao Ni Wahusika Wamesimama..hahaha bongo Noma

    ReplyDelete
  2. Michuzi,Aksante sana, je una up-close ya hii picha, kwani huyo jamaa hapo kushoto anafanana sana na jamaa mmoja tulikuwa naye pale mlimani MWAKALIBURE! kama ni wewe basi tuwasiliane bwana kinokoghana@yahoo.co.uk

    Michuzi kama unayo nimwagie hapa nimcheki huyo jamaa najua yuko sigara kwa muda mrefu sana

    ReplyDelete
  3. waliyokaa pia ni wasanii...kulikuwa na wasanii kama 17..haiwezikani wote kukaa mbele. Wengine ni waratibu wa tour!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...