Home
Unlabelled
ukarabati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli siku hadi siku soka la bongo linazidi kukua shukrani kwa wadau wote pamoja na TFF maana tuna uwanja mpya unaoweza kuchukua zaidi ya watu 60,000 sawa na emirates wa arsenal,uwanja wa taifa nao ndio huo unakarabtiwa na nimesikia tumepewa offer na FIFA ya kukarabatiwa uwanja wa karume sehemu ya PITCH shukrani ziwaendee uongozi wa bwana TENGA kwa kuonyesha dhamira ya hali ya juu ya kuendeleza soka watanzania wakumbuke siku mafanikio ya soka huanzia kwenye ubora wa viwanja pamoja na kuendeleza timu ya vijana pia shukrani ziendee serikali kwa kuleta kocha wa vijana nafikir hilo ni kati ya machache yaliyochangia FIFA kutusaidia katika kuboresha viwanja vyetu na pamoja na serikali yetu kuwa mstari wa mbele kuendeleza soka hapa nchini
ReplyDeleteNakuunga mkono Derrick!tukipata viongozi kama hawa na ktk vilabu kumi tu vy ligi kuu,tutafika mbali ktk muda mfupi
ReplyDeletekatikati Pan African don't they??
ReplyDeleteKWAKWELI NIMETAZAMA VIWANJA KARIBU VYOTE VYA MICHEZO DUNIANI NIMEGUNDUA KUWA HILI JUKWAA KUU LA OLD NATIONAL STADIUM LINA MTAZAMO WA KIPEKEE KABISA YANI VERY UNIQ SO NINGEPENDA HUYO DISIGNER KAMA ANGEWEZA KUDISIGN MAJUKWAA MAPYA ILI YA METCH JUKWAA KUU BASI HUU UWANJA UTAKUWA TISHIO SANA. NYIE MNASEMAJE??
ReplyDelete