uwanja wetu wa neshno stedium ukikarabatiwa. kule jukwaani shoto wanakaaga yanga na kulia simba...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwa kweli siku hadi siku soka la bongo linazidi kukua shukrani kwa wadau wote pamoja na TFF maana tuna uwanja mpya unaoweza kuchukua zaidi ya watu 60,000 sawa na emirates wa arsenal,uwanja wa taifa nao ndio huo unakarabtiwa na nimesikia tumepewa offer na FIFA ya kukarabatiwa uwanja wa karume sehemu ya PITCH shukrani ziwaendee uongozi wa bwana TENGA kwa kuonyesha dhamira ya hali ya juu ya kuendeleza soka watanzania wakumbuke siku mafanikio ya soka huanzia kwenye ubora wa viwanja pamoja na kuendeleza timu ya vijana pia shukrani ziendee serikali kwa kuleta kocha wa vijana nafikir hilo ni kati ya machache yaliyochangia FIFA kutusaidia katika kuboresha viwanja vyetu na pamoja na serikali yetu kuwa mstari wa mbele kuendeleza soka hapa nchini

    ReplyDelete
  2. Nakuunga mkono Derrick!tukipata viongozi kama hawa na ktk vilabu kumi tu vy ligi kuu,tutafika mbali ktk muda mfupi

    ReplyDelete
  3. katikati Pan African don't they??

    ReplyDelete
  4. KWAKWELI NIMETAZAMA VIWANJA KARIBU VYOTE VYA MICHEZO DUNIANI NIMEGUNDUA KUWA HILI JUKWAA KUU LA OLD NATIONAL STADIUM LINA MTAZAMO WA KIPEKEE KABISA YANI VERY UNIQ SO NINGEPENDA HUYO DISIGNER KAMA ANGEWEZA KUDISIGN MAJUKWAA MAPYA ILI YA METCH JUKWAA KUU BASI HUU UWANJA UTAKUWA TISHIO SANA. NYIE MNASEMAJE??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...