Home
Unlabelled
washkaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kassim yuko bongo au ughaibuni mbona choka mbaya sana?ughaibuni ya wapi hiyo,michizi hebu tuambie yuko wapi huko kuchoka na huo uvaaji vinatutia mashaka.nawakilisha hoja.
ReplyDeletemadawa hayoo
ReplyDeleteHuyo Kassim yuko nshi gani na anafanya nini.Maana kama nakumbuka vizuri kwenye miaka ya 90 kulikuwa na uvumi kwamba Kassim alifungwa jela huko Uarabuni kwa tuhuma za kujishughulsha na biashara ya madawa ya kulevya.Hivi ni kweli?
ReplyDeleteJamani!! we unayesema kasim kachoka what do you mean? kwa kigezo gani? ulitaka asizeeke? avae nguo gani uone hajachoka? jamani wakati wa ku-judge mtu kwa nguo alizovaa umeshapita ndugu zangu. kwanza ukitua bongo we unayepokewa airport waweza kudhaniwa ndo umekuja kupokea wageni, that means nguo sio ishu tena. nitafute nikuonyeshe WACHEZAJI WALIOCHOKA.
ReplyDeleteEbana, anony wa hapo juu umeniwahi..that was my comment too..Hapo ughaibuni kweli hapo?.Mhhh!
ReplyDeleteWewe anonymous hapo 2007,9:00pm Weka picha yako kama na wewe sio choka mbaya, umeona picha za Ughaibuni tu ndio Nzuri, acha Ushamba Picha ni picha tu wala sio Choka mbaya
ReplyDeleteWw unayesema kassim choka mbaya ulishazoe kuvaa bling bling za kariakoo ndio umuona m2 yupo ulaya nn hapo basi amsterdam jiji la starehe europe acha ushamba ww siku nyinge uandike v2 vya maana....
ReplyDelete