aboubakar liongo akiwa na washkaji wa kibongo na kassim manara huko ughaibuni majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kassim yuko bongo au ughaibuni mbona choka mbaya sana?ughaibuni ya wapi hiyo,michizi hebu tuambie yuko wapi huko kuchoka na huo uvaaji vinatutia mashaka.nawakilisha hoja.

    ReplyDelete
  2. madawa hayoo

    ReplyDelete
  3. Huyo Kassim yuko nshi gani na anafanya nini.Maana kama nakumbuka vizuri kwenye miaka ya 90 kulikuwa na uvumi kwamba Kassim alifungwa jela huko Uarabuni kwa tuhuma za kujishughulsha na biashara ya madawa ya kulevya.Hivi ni kweli?

    ReplyDelete
  4. Jamani!! we unayesema kasim kachoka what do you mean? kwa kigezo gani? ulitaka asizeeke? avae nguo gani uone hajachoka? jamani wakati wa ku-judge mtu kwa nguo alizovaa umeshapita ndugu zangu. kwanza ukitua bongo we unayepokewa airport waweza kudhaniwa ndo umekuja kupokea wageni, that means nguo sio ishu tena. nitafute nikuonyeshe WACHEZAJI WALIOCHOKA.

    ReplyDelete
  5. Ebana, anony wa hapo juu umeniwahi..that was my comment too..Hapo ughaibuni kweli hapo?.Mhhh!

    ReplyDelete
  6. Wewe anonymous hapo 2007,9:00pm Weka picha yako kama na wewe sio choka mbaya, umeona picha za Ughaibuni tu ndio Nzuri, acha Ushamba Picha ni picha tu wala sio Choka mbaya

    ReplyDelete
  7. Ww unayesema kassim choka mbaya ulishazoe kuvaa bling bling za kariakoo ndio umuona m2 yupo ulaya nn hapo basi amsterdam jiji la starehe europe acha ushamba ww siku nyinge uandike v2 vya maana....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...