wanaume wa african sports ya tanga ambao ni watani wa jadi wa coastal union hapo chini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. waliosimama kipa omar mahadhi,-,mwabuda,-,sharif,-,-,abdallah luo(mrefu)walio chini wa pili kipa hemedi seif,-,-,-,-,picha hii kama sikusei 1974,omar mahadhi alijiunga na simba somewhere in 1975. huyo sharif alichezea timu ya maji ya dodoma 1971-1974.picha hii beki wa taifa omar zimbwe ameshajiuzulu mpira. zacharia kinanda beki mwingine wa taifa stars alikuwa anachezea coastal union nae alikuwa amestaafu, wachezaji wengi wa stars enzi hizo walikuwa wanatoka tanga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...