Home
Unlabelled
coastal union
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hicho ni kikosi hatari cha akina Shemaonge, Sherukindo, Shehoza, Shemdohe, Shemberu na Wengine akina She...
ReplyDeleteDah!ebwana namuona Razak Yusuph 'Careca' hapo,mpira ulikuwepo enzi hizo Tanga
ReplyDeleteSi utani, ingawa mie nimekuwa shabiki wa chama kubwa la SIMBA, enzi hizo ilikuwa wakicheza Costal Union na African Sports lazima nitege skio. Jamaa walikuwa na upinzani mithili ya Simba na Yanga....hakika tunamiss upinzani huu.
ReplyDeleteoyaa hamna cha Razak Yusuf hapo..alikuwa kinda pengine, kwa haraka tu namuona Salim Omari, Mohammed Salim, BWANA MIPANGO SALIM AMIRI, beki wa kimataifa mstarabu kupita wote bongo aliyesimama, Kampira yupo pia, Salim Omari,na wengine majina yametoka.
ReplyDeletesasa bwana unatuchanganya mbona wakina salim wengi haya hatuwepo wetupige fix!!
ReplyDeletewaliosimama mrefu zaidi ni salim amri aliyesimama nae kushoto kwake ni jalala,( mshambuliaji balaa)walio chini wa kwanza kulia ni omar bafadhili,-,-,mweupe chini ni mohamed salim (mshambuliaji muungwana) alipata zawadi hiyo 1979 in nairobi during challenge cup tornament. zaidi yahapo m. salim alikuwa anacheza beki namba 4 na kipa pia, three for price of one. salim amri alivunjika mguu huko misri 1975, FAT wakamtupa bila hata matibabu, akajihudumia mwenyewe akarudi kuchezea TAIFA STARS tena 1979, sasa huo ndiyo uzalendo wa kiasi hata baba mtakatifu nyerere alikuwa hapendi nchi namna hiyo!!!!
ReplyDeletemimi nilikuwa miaka kumi wakati costi ilkuwa maingwa wa tz walikuwana ka kwenye hoteli ya new era ilikua nyumba wapili kutoka kwetu jangalu aliku rafiki wangu alikuwa kunichukuwa kune emu zite za tanga mimi sasa niko uk ikiwezekana nipatie janalu email/simu
ReplyDelete