bustani nzuri za minnesota

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. nasikia mwanza wana 'twin tower' zinajengwa, kama ni kweli kodi ya kukodi ofisi itakuwa poa. maana ilikuwaga mbinde kupata sehemu ya kujibanza.. kila sehemu imejaa

    ReplyDelete
  2. Kweli mwanza inapendeza sasa,kidogo inaonekana ni jiji.

    ReplyDelete
  3. Shukrani mzee Michuzi kwa shughuli yako pevu ya kufumbua macho ya watanzania na watu mbalimbali kuhusiana na hii nji yetu. Lakini tafadhali bwana majina ya mikoa na majiji ya Tanzania usiyabadilishe na kuyaiita kama miji ya wageni.Mwanza ni Mwanza na si Minnesota.Mwanza imeanza kuchanua vyema na ingekuwa bora kama baadhi ya maofisi ya serikali yahamishiwa Mwanza ili watu zaidi waanze kuhamia jiji la mawe, kuna vitongoji Mwanza vimetulia kushinda hata vile vya Dar. Tuleteee pia pivha zaidi za mikoa iliyosahaulika kama Tabora na Kigoma. Mjerumani hakuwa mjinga alipoipa kipaumbele mikoa hii, hii mikoa ina rasilimali zote za kuiwezesha kuwa majiji haswa, hususani Kigoma.

    ReplyDelete
  4. aaah michuzi, unanikumbusha mbali aisee, niwekee picha ya Nyanza primary school.
    mji unawaka kinomi, mfowardie supper wa darwin aone mji mzuri kama huu,aache uzushi

    ReplyDelete
  5. michuzi hacha kuchemsha toka lini Mwanza ikawa Minnesota. Acha kuintateini majina ya ugaibuni alafu unayafunika ya kwenu

    ReplyDelete
  6. Asikwambie mtu mwanza kutamu kwa usafi si mchezo nashangaa watu wanang'ang'ania dar tu sijui kuna nini mwanza mji safi hali ya hewa safi pia huu mji miaka ya mbeleni ijayo utakuwa bomba sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...