Home
Unlabelled
bustani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nasikia mwanza wana 'twin tower' zinajengwa, kama ni kweli kodi ya kukodi ofisi itakuwa poa. maana ilikuwaga mbinde kupata sehemu ya kujibanza.. kila sehemu imejaa
ReplyDeleteKweli mwanza inapendeza sasa,kidogo inaonekana ni jiji.
ReplyDeleteShukrani mzee Michuzi kwa shughuli yako pevu ya kufumbua macho ya watanzania na watu mbalimbali kuhusiana na hii nji yetu. Lakini tafadhali bwana majina ya mikoa na majiji ya Tanzania usiyabadilishe na kuyaiita kama miji ya wageni.Mwanza ni Mwanza na si Minnesota.Mwanza imeanza kuchanua vyema na ingekuwa bora kama baadhi ya maofisi ya serikali yahamishiwa Mwanza ili watu zaidi waanze kuhamia jiji la mawe, kuna vitongoji Mwanza vimetulia kushinda hata vile vya Dar. Tuleteee pia pivha zaidi za mikoa iliyosahaulika kama Tabora na Kigoma. Mjerumani hakuwa mjinga alipoipa kipaumbele mikoa hii, hii mikoa ina rasilimali zote za kuiwezesha kuwa majiji haswa, hususani Kigoma.
ReplyDeleteaaah michuzi, unanikumbusha mbali aisee, niwekee picha ya Nyanza primary school.
ReplyDeletemji unawaka kinomi, mfowardie supper wa darwin aone mji mzuri kama huu,aache uzushi
michuzi hacha kuchemsha toka lini Mwanza ikawa Minnesota. Acha kuintateini majina ya ugaibuni alafu unayafunika ya kwenu
ReplyDeleteAsikwambie mtu mwanza kutamu kwa usafi si mchezo nashangaa watu wanang'ang'ania dar tu sijui kuna nini mwanza mji safi hali ya hewa safi pia huu mji miaka ya mbeleni ijayo utakuwa bomba sana.
ReplyDelete