kikosi kamambe cha coastal union enzi hizo. wadau mnaowafahamu miamba hawa twaomba majina...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hicho ni kikosi hatari cha akina Shemaonge, Sherukindo, Shehoza, Shemdohe, Shemberu na Wengine akina She...

    ReplyDelete
  2. Dah!ebwana namuona Razak Yusuph 'Careca' hapo,mpira ulikuwepo enzi hizo Tanga

    ReplyDelete
  3. Si utani, ingawa mie nimekuwa shabiki wa chama kubwa la SIMBA, enzi hizo ilikuwa wakicheza Costal Union na African Sports lazima nitege skio. Jamaa walikuwa na upinzani mithili ya Simba na Yanga....hakika tunamiss upinzani huu.

    ReplyDelete
  4. oyaa hamna cha Razak Yusuf hapo..alikuwa kinda pengine, kwa haraka tu namuona Salim Omari, Mohammed Salim, BWANA MIPANGO SALIM AMIRI, beki wa kimataifa mstarabu kupita wote bongo aliyesimama, Kampira yupo pia, Salim Omari,na wengine majina yametoka.

    ReplyDelete
  5. sasa bwana unatuchanganya mbona wakina salim wengi haya hatuwepo wetupige fix!!

    ReplyDelete
  6. waliosimama mrefu zaidi ni salim amri aliyesimama nae kushoto kwake ni jalala,( mshambuliaji balaa)walio chini wa kwanza kulia ni omar bafadhili,-,-,mweupe chini ni mohamed salim (mshambuliaji muungwana) alipata zawadi hiyo 1979 in nairobi during challenge cup tornament. zaidi yahapo m. salim alikuwa anacheza beki namba 4 na kipa pia, three for price of one. salim amri alivunjika mguu huko misri 1975, FAT wakamtupa bila hata matibabu, akajihudumia mwenyewe akarudi kuchezea TAIFA STARS tena 1979, sasa huo ndiyo uzalendo wa kiasi hata baba mtakatifu nyerere alikuwa hapendi nchi namna hiyo!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2008

    mimi nilikuwa miaka kumi wakati costi ilkuwa maingwa wa tz walikuwana ka kwenye hoteli ya new era ilikua nyumba wapili kutoka kwetu jangalu aliku rafiki wangu alikuwa kunichukuwa kune emu zite za tanga mimi sasa niko uk ikiwezekana nipatie janalu email/simu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...