
mlinzi abdalla cowboy wa mseto ya morogoro akiwania mpira na zainadul dossa wa cosmopolitan huku awadhi akingoja nyuma yao. hivi sasa dossa ni bosi wa kampuni binafsi ya ulinzi ya ultimate security wakati cowboy sina uhakika yuko wapi kwa sasa ila alikuwa anafanyakazi ya ufundi shirika la reli nilipomuona mara ya mwisho miaka kadhaa ilopita


du huyu bwana ndo dossa tunakunywanaye kwenye mu arobaini wa leaders?
ReplyDelete