Home
Unlabelled
foleni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa kiingilio kwa show kama hiyo inakuwa kiasi gani? Compare na hizo za kina Jayz Koffi etc?
ReplyDeleteNimeona kwenye hito flyer ni sh 4000/- Siyo mbaya sana. Hata mtu wa kawaida anaweza kuipata hiyo ila kiingilio kwa sow za kina Jayx etc sijuhi ni kiasi gani...
ReplyDeleteShoo za Kina Jei Zii kiingilio kinaanzia TSH 30,000 hadi TSH100,000 kwa hiyo huwezi fanananisha. hela za watu 100 wa Jei Zii sawa na hao wote waliongia Jana na kupita.
ReplyDeleteukisimama kwenye hiyo line inabidi wallet uweke kwenye chupi la sivyo unafika mlangoni kujicheki mifukoni wallet ilishaondoka
ReplyDeleteKuna wengine hapo wanaonekana wana sura ngumu kweli hapo inabidi uangalie mfuko wako wa nyuma la si hivyo huna kitu halafu hao jamaa watatu wa nyuma wamemtolea macho huyo dada wa mbele aliyevaa koti sijui wanakula mingo ili wamfanye nini sijui
ReplyDelete