viongozi mbalimbali wakiomba dua mbele ya kaburi la sheikh abeid amani karume huko zenj. leo ni karume dei ambayo ni sikukuu ya taifa kukumbuka kuuawa mwasisi wa mapinduzi na muungano wa tanganyika na zanzibar alieuawa miaka 35 ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. KWANZA TUPOWE KWA SIKU HII YA KUMKUMBUKA SHUJAA WETU KARUME. PILI MNIWE RADHI KWANI HAPA SI MAHALA PAKE LAKINI INABIDI. UKUTA WA MAXIMO UNA WALAKINI. NDUGU WATANZANIA WENZANGU NAJUA TUNA NAFASI KUBWA YA KWENDA GHANA LAKINI HUU UUNGWANA UTATUPONZA!! YASIJE YA KATOKEA YA MIAKA ILE YA TISINI NA ILE STARS NZURI YA KINA ISSA ATHUMANI. TULIANZA VIZURI KWA KUIFUNGA TOGO NA DRO MOJA HIVI MARA TUKALETA YULE MBRAZIL. NAKUMBUKA JAMAA HADI TUNACHEZA MECHI YA MWISHO BADO ANADAI OOH TUTAKWENDA BUKIRNA FASO. NINACHOTAKA KUSEMA NIHIVI HUU UKUTA WA YANGA AMBAO PIA NI WA TAIFA STARS UNA WALAKINI. UKIONDO BEKI MMOJA AU WAWILI UTAKUTA SAFU NZIMA NI ILE ILE INAYOCHEZA STARS. UTAFUNGWAJE 4 HALAFU WIKIMBILI ZIJAZO UKUTA HUO HUO UNAFUNGWA 3.??? MAXIMO HAS TO DO SOMETHING. SAWA TUNAWEZA KUWA NA WASHAMBULIAJI BUTU BASI HATA DRO? AU BASI HATA 1 AU 2. TUTAFUNGWAJE NNE KILA SIKU?? KAMA FEDHA MNAPEWA SASA HII NINI. WATANZANIA TUACHE UMWINYI HAPA MSIDHANIHUKO NIGERIA ,IVORY COAST NA GHANA MAMBO YANAKUJA KIURAHISI.KUNA ZENGWE ZA NGUVU NANDIO MAANA WACHEZAJI WANAKAZA MAKALIO KULE. WAKILETA USHENZI SASA BAKORA TU! WATU WANAKUFA NJAA HUKO VIJIJINI MADAWA HAKUNA NYIE MNAFUNGWA FUNGWA MARA 4 MARA 3. NA HAO WENGINE AMBAO KUCHEZEA STARS WAMESHAANZA KUJIONA MASTAA SIJUI MWAIKIMBA SIJUI NANI WAANHALIE TUTAWARUDISHA HUKO KWAO WAKALIME VIAZI. SASA ZENGWE TUU TUSHACHOKA!! SI HAMINI KAMA HAO NDIO BEST DEFFENDERS TULIONAO SASA HAPO TANZANIA. WHERE IS CHRISTOPHER ALEX, LUBIGISA, AMRI SAID NA WENGINEO. TUMECHOKA MAXIMO BE CAREFULL TANZANIANS ARE SO COOL BUT CAN BE "CRAIZE" SOMETIME.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...