kupandisha kilima cha bugando kwa kutumia injini kiuno si mchezo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kweli si mchezo si unaona mzee kachemsha.

    ReplyDelete
  2. Yaani kiswahili chako kinaniacha hoi. INJINI KIUNO Sina mbavu hapa nilipo.

    You really keep us happy all the time.

    Unajua watu hawajui tu wewe ni entertainer na photograper at the same time.

    ReplyDelete
  3. Tanzania magari yanaendeshwa upande gani wa barabara, nimekosa jibu kwa kutumia picha hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...