Home
Unlabelled
mdau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Keeps up Wasaniii bongo angalia hapo juuu Afande Sele uko poa kama wewe ndio umetoka huko mamtoni(UKEREWE)huyo mdau mwenyewe wa Reading Order picking zimeshamuuwa anaonekana kama ndio amepigwa na jua la Bongo.Je amekuja bongo amefikisha tageti za kumruhusu kutoka huko katika box kwani ukibeba zege ukaoga kabla ndio umenawa hiyo ujue kabisa huna pesa ya siku hiyo
ReplyDeleteOya Afande sema mwana. I n I Soul, Jah Rasta Fallai. Yo man, mtu wangu 2 b honest nilikuwa sikukubali in this rap game. Track yako moja tu nilikuwa naikubali ile umeimba na Solo na Prof. Ila sasa mwana kwa track lako la jana ulilolikamua la Uwanja wa taifa ni noma mwana. Nilichokikubali kwenye track lile ni kwamba kwanza style lako limeenda Ki-Hip Hop (The real shit Hip Hop), U know what I mean? Pia Dude lile limesimama na umesema ukweli. Sasa kama tangia zamani ungekuwa unaenda ki-HIP HOP kama dude la uwanja wa taifa (yani beats kali, na ukawa unaenda na beats na nini, mwana ungekuwa Mfalme in the real sence. Big up man keep it up. Ila msisahau kwenda Arusha kuangalia vijana wanafanya nini. Holla kwa Mwamba wa Kaskazini plus Nako 2 Nako. Holla babe
ReplyDeleteMmh huyo jamaa kutoka Ukerewe,aahahha ahaha...kachoooooooookaaaaa.Big up Sele!
ReplyDeletemdau ana kamimba ka panya
ReplyDeleteJamaa amechoka kinoma utafikiri mzee wa Kijiji vilee...watu wako wa UKEREWE Michuzi tumewachoka..hebu usiwe unawaweka hapa ni michosho tu.
ReplyDeleteJamani lets be honest majuu ni USA sio Ukerewe. PERIOD
ReplyDeleteWe Michuzi hawa 'WADAU' wako toka ukerewe unaowabeba mbona hawauziki??...
ReplyDeleteWamepinda ka Ndoano, nina mashaka kama ni 'wadau' toka Ukerewe ya Blair. Mimi nahisi ni wajomba zako toka Ukerewe ya Mama Mongela (kule Visiwani ktk Ziwa Victoria)....
Wamekaa kijomba-jomba sana, kwanza huyu wa leo inabidi umpeleke kliniki, hana muda mrefu.......
we anonymous wa 10:35 kwani US ndiyo kuna nini kama hujitumi,mi ni shakaa US kuna watu wanaishi kikundi ilimradi siku ipite,kwa hiyo wengi ilimradi wapo US lakini hakuna achievement yoyote,watu kama nyie kazi kunywa heineken halafu unaridhika,kwanza umeoa?usije ukaja lea vijukuu hapo baadae kisa ulikuwa US,grow up men!wewe bweteka tu watu tunakamua hapa bongo.
ReplyDeleteha ahaha haa ahaha ahaha...eee bwana wee huyo mdau wa ukerewe kachoka ile mbaya na tambi lake la pombe zilizoexpire...michuzi acha kutia watu aibu hapa sio mchezo mzuri huo na ulijua tutaongea ukweli tuu hapa wadau wa kweli...naomba usituharibie jina la WADAU kwa vitambi kama hivyo pichani
ReplyDeleteDu huyo jamaa kachoka mbaya,mi nilipoangalia nilijua nimmachinga.
ReplyDeleteDuhh huyo mdau toka Ukerewe mimi nilifikiri labda jamaa alikuwa ni security wa hapo diamond maana anavyoonekana ni kama vile alikurupushwa kutoka ndani ya nyumba maana hata nyewele zenyewe sijui hana kitana halafu hilo tumbo sijui ni bia bia gani anazokunywa na kimimba kilivyojitokeza hawa wadau wengine michuzi anaowaweka sijui wanafanya nini huo isije ikawa wanaishi kama PIMP nchi za watu wakija huku bongo hawana kitu sisi tunaendelea kukamua na bongo yetu na hatuendi popote tutayapatia maisha hapa hapa
ReplyDeleteduh jamaa ana bonge la tambi...halafu hajachana nywele,hivi watu wa UK hakuna kazi nyingine zaidi ya kuchuma matunda maana ndio matokeo yake kama jamaa huyu..choooka mbaya sana!
ReplyDeleteDuh watu wa Ukerewe(UK) wamechoka aisee, kila picha inayowekwa ya watu wa Ukerewe yaani ni vichekesho tupu jinsi walivyochoka. Aisee kusema ukweli kiwanja pekee ni USA na Canada.
ReplyDeleteThis is fun staffs
ReplyDeleteHaya ndio mambo watu kila siku wanalalamikia kuhusu UJINGA wa baadhi ya watanzania. Hizi comments za hapo juu kuhusu huyo jamaa wa mbongo wa UK hazina hata maana.
ReplyDeleteNaomba wote mloandika hapo juu kumsagia huyo jamaa mfikrie kuhusu ndugu zenu na hata ikibidi baba zenu, si ajabu wanafanana na huyo jamaa, kwani na wao sio watanzania. Kuna watu wamesema kwamba watanzania wanao kaa UK wanatakiwa waonekane kama mnavyotaka ninyi?
Au ndio kuchanganyakiwa na maisha mpaka mpaka mtu aonekane mnavyotaka ninyi ndio atakuwa anakaa UK?
Kwa yule anayesema kwamba kiwanja ni US/Canada naomba nikuoe huu mfano kuhusu hawa watu watu wawili........watoto wa marehemu Waziri K.Malima.mbona siwaoni kama wanatofauti na huyu jamaa? (samahani kwa kutumia hawa watu kama mfano lakini sio kwa nia mbaya)
Na wao wako US muda mrefu sasa.....kueni na komaeni ki mawazo.
Utoto na unafiki uishe, kwani Rais yetu aliyepita au watoto wake wanafananaje? acheni ushamba.......
Naomba mheshimu watu walivyoumbwa na mwenyezi Mungu.
Kazi kweli kweli! Yangu macho tu!
ReplyDeleteanon Thursday, April 05, 2007 2:15:00 AM,
ReplyDeletehakuna mtu kaumbwa na mimba ni uzembe na kujiachia,
hakuna mtu kaumbwa na nywele zilizochanwa, ni usafi wa mtu na ustaarabu
kama unakaa UK lazima utakuwa una-afford angalau shati ya kutokea kama huwezi basi usipige picha na cheap white tee ukijua inaenda kwenye internet.
Anony wa Thursday, April 05, 2007 6:56:00 PM, KWahiyo kwa vile anakaa UK lazima avae t-shirt unayoona wewe kwamba inafaa na sio anayoamua yeye mwenyewe
ReplyDeleteLazima achane nywele kama unavyotaka wewe, au atembee na kitana popote aendepo kama nywele zake labda ni kipilipili
Lazima ahakikishe hana kitambi kwa vile anakaa UK na wewe ndio unaona watu wote wanaokaa Uk wako hivyo....
Mbona ni ushamba na utumwa wa mawazo wa hali ya juu sana kama kila mtu atatakiwa aonekane kama utakavyo wewe?
Udikteta wa mawazo huo kama utataka kila mtu anayekaa nje afanane na wewe......so wanaokaa bongo na vijijini ndio wanostahili kuonekana kama jamaa sio na sio wanaokaa UK?
Unaweza pia ukawa ndio wale wakifika UK/US basi kujaribu kwa sana kubadilisha accent ufikiriwe kuwa ni wa hukohuko....kwani kila kitu unataka ki-UK/US sio?
Kuna watu kibao tu UK/US/Canada ambao wanavitambi, ni wa maana sana kuliko hata wewe nina uhakika...waseme basi haon ndio ukimaliza uje kwa watanzania.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha yake atakavyo as long as havunji sheria, that includes the freedom to wear what he/she likes, to appear as he/she likes regardless of his/her race, colour or/and origin.......
Get that through your thick skull you 'desperate western wanna be'