kiongozi wa parapanda arts mgunga mwa mnenyelwa akipongezwa na mwafrika (zamani clemence) merinyo kwa kupokea tuzo ya pongezi kwa kazi nzuri kwa niaba ya kundi lake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hongera sana nayakumbuka sana mashairi yako ya kumuaga baba wa Taifa marehemu JK NYERERE

    ReplyDelete
  2. Wadau(Ndesanjo na wengine !!!) wanaofahamu nisaidieni,huyu Mgunga wa Mnyenyelwa ndie zamani aliitwa Emmanuel Mnyenyelwa ? Kule Mwenge Shule ya msingi na Mawenzi Sec. zote za Moshi ? Kama ndie,mara ya mwisho tuliachana Mawenzi Sec.
    MBUNGE WA DUNIANI.

    ReplyDelete
  3. Hapa suti moja na tamaduni nne.Ni nadra sana kuona ratio hii kwa wabongo walioko ughaibuni zaidi ya Roca Wear,Timberland,Sean John,Jordan,Phat Farm nk. Hivi ni kwanini ?
    Shughuli ya Wanigeria wanaotajwatajwa ktk blog hii, suti kama anasa....kila mtu anapiga "Abadaja" kwa kuwa kuvaa suti kwenye shughuli nyeti hakuna heshima ya kiafrika.

    ReplyDelete
  4. huyo annon aliyeuliza kuhusu Mnyenyelwa ndiye Emanuel Mnyenyelwa ila kwa siku hizi kwa sababu za uafrika zaidi anapendelea jina lake la jadi zaidi ya hilo la kikristo.
    aminia Mnyenyelwa wewe ni kati ya watanzania wanaopenda na kuuheshimu jadi na uafrika wetu hasa kwa kipaji chako cha mashairi na kundi lako la parapanda huwa ninawahusudu saaaana. Tangulia Mwalimu ilinipa hamasa sana enzi za kifo cha mwalimu JKN.Keep it up man!

    ReplyDelete
  5. Nawashukuru sana wote mlionikumbuka kwa njia moja au nyingine! Ndimi, Mgunga mwa mnyenyelwa(jina la utoto Emanuel Mnyenyelwa!) Mwenge Primary-Mawenzi secondari-Zanaki sekondari-Chuo kikuu Mlimani(Mwakani ntarudi kwa MA. Niliacha kuhubiri NIKATENDA! kwa KUNYAKUA JINA LANGU!


    ILI TUENDELEE TUNAHITAJI -KUWA JEURI!! Dunia si kitanda cha vono kulala usingizi wa pono!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...