
mwanamuziki miriam chemoss ameshaibua video yake ya kwanza. bofya hapa kuisikiliza na kuona. ningefurahi ubora wa video za bongo zingekuwa hivyo zote; tungefika mbali
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh huyo mtoto si mchezo yuko so fine ile mbaya lakini hiyo video kwenye you tube nafikiri there are some problems
ReplyDeletemzee michuzi nini tofauti?kwa hio video?
ReplyDeleteInaelekea wewe misoup unapenda chupi sana. Yaani ubora wa hiyo vidoe ni chupi????!!!!!! Be serious
ReplyDeletemmh video imetulio hiyo,we unaesema kwenye u tube ina problems,hebu check tena
ReplyDeleteTOFAUTI NI huyu demu katoka na vichupi vitupu na video zingine hawajawahi kufanya hii kitu.
ReplyDeletehuyu dada si ni model pia naomba sana michuzi mwambie aachane na mziki angalie zaidi soko la modelling si muimbaji huyu period!!
ReplyDeletenothing new guyz!! hakuna jipya yaani naifagilia hata ile ya jackline ntuyabaliwe kuliko hii..du kweli fani imevamiwa na mimi basi nitaingia studio....
ReplyDeletealichoimba cha maana sikioni.sema tu labda umependa hizo swimmingcost michuzi.mbona RC anaimba vizuri sana kuliko huyo?kama umempenda ni vizuri umwambie yeye mwenyewe atakuelewa!usitufanye watoto wadogo! RC kiboko yake!kama ni uzuri sura anayo shep kauza Aloooooo!
ReplyDeletemichuzi mimi nataka kusema kama wenzangu.kweli hapo bongo kuna video unazipatapata tena za mda ni babu kubwa kuliko hii.mimi sijaona lolote kwa video hiyo.vya kusifia sifia.
ReplyDeleteSir Issa..huyu dada anafaa, katika mambo ya chungu na nzima au vipi Mzee.
ReplyDeleteinabidi akaimbe kwaya kanisani
ReplyDeleteAnko michuzi hii video wamejitaidi katika color combination na labda hayo mazingira ni mazuri mazuri! lakini kingine mie sijaona hata wabongo wanafanya vitu kama hivyo! ebooo! kwanza hata hiyo bikini wanayosifia anon wa hapo juu aina kitu chochote kama ile ya NYANGEMA na jenifer...
ReplyDeleteDADA POLE SANA HAYO NDIO MATOKEO YA KUMPA PICHA MICHUZI...UGUA POLE.
ReplyDeleteBinadamu tunatofautiana kivionjo na maono. Michuzi ana vionjo na maono yake ambayo kwa hakika mtu mwingine huenda akatofautiana naye, mi nikiwa mmoja wao. Binafsi naungana na wengine waliosema kuwa katika video hiyo hakuna jipya. Labda hivyo vichupi na sanasana Kiingereza kilichochanganywa humo. Nakumbuka siku moja Michuzi aliwahi sema humu bloguni kuwa kwake Kimombo tabu kidogo, basi huenda kila penye Kimombo kwake ni ufundi. Ukweli ni kuwa video hiyo si tu kuwa haina jipya bali pia haivutii.
ReplyDelete