Home
Unlabelled
pan team
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SASA BRO MICHUZI UNAONGEA! HIVI NDIO VITU AMBAVYO KILA SIKU NILIKUWA NAKUULIZIA. LABDA WATOTO WA SIKU HIZI WAKIONA HAYA MAMBO LABDA WATAKAZA MAKALIO NA SIO MAKELELE TUU!! LETE VITU MPAKA TUCHOKE WADAU WANAKUSIKILIZIA. PIA MI NITAKUWA NAKUPA DATA KAMA: PICHA BORA YA KALNE MLONGO UNAIKUMBUKA?? KAKA NAJUA NIMEKUPA MTIHANI LAKINI NITAKUPA HINDS: MIAKA YA SEMANINI MWANZONI KATI YA SIMBA NA SMALL SIMBA. NI WACHEZAJI WAWILI WANAWAHI MPIRA AMBAO UKO KATIKATI YAO NAWOTE WAKIWA KATIKA STYLE MOJA. HAYA LETE RAHA!
ReplyDeleteKumbe Comeruni vile vibodi taiti wametuiga!Sema tuu sisi hatukuvionyesha dunia nzima,hata ivyo sisi ndio Baba Dhao!
ReplyDeleteWatoto wa Born here here.Chini; Chama,Tostao, Ardof Rishad, Tino,na wengineo.Anaejua aletelist kamili
ReplyDeletetuliza filimbi we kijeba hapo juu, maneno mengi hata hujui kabumbu unajifariji tu jinsi ulivokula chumvi. Taja majina wa wachezaji basi kwenye picha??!! unaloloma tu ooh watoto wa siku hizi
ReplyDeletekama hujui majina weka makalio chini na funga kopo hilo
CHINI KOTOKA KUSHOTO,MOSHI(SIO MAJUNGU)MUHAJI MUKI,O.KAPERA,J.SHABANI,G.MAPANGO,MOHAMED TOSTAO,KITWANA MANARA.
ReplyDeleteWALIO SIMAMA JELA MTAGWA,J.MATOKEA ADOLF,POMPIDUU,MKWECHE,ALLY YUSUPH J.PONDAMALI(MENSAH)CHAMA WALA TINO AWKUWEPO WAKATI WA PAN KAVASHA MZIKI HUU ULIKUA HATARI,CHAMA ALIBAKI YANGA NA TINO ALIKUA TANGA A.SORTS
we faza hapo juu unachemka. Umetaja list lakini hujui nani ndio yupi. Sijui umechukua list katika internet. ??? Kwa taarifa yako huyo wa pili chini ni Tino. We unajua nini wakati huo ulikuwa Ufwege unalima viazi. Redio moja tarafa nzima. Kaa kimya acha kulipukabro!!
ReplyDeleteWeee annon hapo juu ndo umechemka Hapo hayupo P.Tino,hiyo chama Tino alikuwa Tanga African Sports,wewe ndo umetoka kiraracha juzi tu unajifanya born hia hia.
ReplyDeleteHili chama sio mchezo niliwafahamu ktk picha ni kilambo,muhaji muki,kitwana manara,tostao,mkweche,pompidu,pondamali.omari kapera,adolf rishad,idd msakaa,godian mapango. aisee michu hii longtime 1977 nakumbuka mwaka huu yanga alipigwa goli 6-0 na simba sport club baada ya kuondokewa na hiki kikosi kilicho unda nyota africa na baadae kuwa pan africa enzi hizo michu bado ujakuja daressalaam,
ReplyDeleteMICHUZI TUNATAKA NA TIMU ZA MIKOANI KAMA PAMBA NA NYINGINEZO ENZI HIZO. SIS WA MIKOANI TUJIGAMBE
ReplyDeletebaadhi ya waliosimama:
ReplyDeleteMohamed Rishard "adolf" kassim manara,mohamed mkweche,ally yusuf,juma pondamali "mensah"
baadhi ya waliochuchumaa:
gordian mapango,mohamed yahaya "tostao", kitwana manara "popat"
timu hiyo ilikuwa chini ya kocha ramadhani kilambo.
waliosimama kulia kocha athman kilambo,-adolph rishard,kassim manara,-juma pondamali,m.mkweche,---. wliochini kulia ni -,-, omari kapera,jella mtagwa,gordian mapango,m.tostao na kitwana manara. huyu mdau kitwana kaanza kucheza miaka ya 1950s alianza kipa wa stars. hapa ukitazama alikuwa miaka ya arobaini na kadhaa na bado alikuwa beast. ndugu kassim uko wapi? unakumbuka enzi zetu za barabara ya saba DOM simu yangu (425-286-6859)
ReplyDelete