hiki ndo kikosi cha mauaji cha pan african enzi hizo. wadau tunaomba majina tafadhali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. SASA BRO MICHUZI UNAONGEA! HIVI NDIO VITU AMBAVYO KILA SIKU NILIKUWA NAKUULIZIA. LABDA WATOTO WA SIKU HIZI WAKIONA HAYA MAMBO LABDA WATAKAZA MAKALIO NA SIO MAKELELE TUU!! LETE VITU MPAKA TUCHOKE WADAU WANAKUSIKILIZIA. PIA MI NITAKUWA NAKUPA DATA KAMA: PICHA BORA YA KALNE MLONGO UNAIKUMBUKA?? KAKA NAJUA NIMEKUPA MTIHANI LAKINI NITAKUPA HINDS: MIAKA YA SEMANINI MWANZONI KATI YA SIMBA NA SMALL SIMBA. NI WACHEZAJI WAWILI WANAWAHI MPIRA AMBAO UKO KATIKATI YAO NAWOTE WAKIWA KATIKA STYLE MOJA. HAYA LETE RAHA!

    ReplyDelete
  2. Kumbe Comeruni vile vibodi taiti wametuiga!Sema tuu sisi hatukuvionyesha dunia nzima,hata ivyo sisi ndio Baba Dhao!

    ReplyDelete
  3. Watoto wa Born here here.Chini; Chama,Tostao, Ardof Rishad, Tino,na wengineo.Anaejua aletelist kamili

    ReplyDelete
  4. tuliza filimbi we kijeba hapo juu, maneno mengi hata hujui kabumbu unajifariji tu jinsi ulivokula chumvi. Taja majina wa wachezaji basi kwenye picha??!! unaloloma tu ooh watoto wa siku hizi
    kama hujui majina weka makalio chini na funga kopo hilo

    ReplyDelete
  5. CHINI KOTOKA KUSHOTO,MOSHI(SIO MAJUNGU)MUHAJI MUKI,O.KAPERA,J.SHABANI,G.MAPANGO,MOHAMED TOSTAO,KITWANA MANARA.
    WALIO SIMAMA JELA MTAGWA,J.MATOKEA ADOLF,POMPIDUU,MKWECHE,ALLY YUSUPH J.PONDAMALI(MENSAH)CHAMA WALA TINO AWKUWEPO WAKATI WA PAN KAVASHA MZIKI HUU ULIKUA HATARI,CHAMA ALIBAKI YANGA NA TINO ALIKUA TANGA A.SORTS

    ReplyDelete
  6. we faza hapo juu unachemka. Umetaja list lakini hujui nani ndio yupi. Sijui umechukua list katika internet. ??? Kwa taarifa yako huyo wa pili chini ni Tino. We unajua nini wakati huo ulikuwa Ufwege unalima viazi. Redio moja tarafa nzima. Kaa kimya acha kulipukabro!!

    ReplyDelete
  7. Weee annon hapo juu ndo umechemka Hapo hayupo P.Tino,hiyo chama Tino alikuwa Tanga African Sports,wewe ndo umetoka kiraracha juzi tu unajifanya born hia hia.

    ReplyDelete
  8. Hili chama sio mchezo niliwafahamu ktk picha ni kilambo,muhaji muki,kitwana manara,tostao,mkweche,pompidu,pondamali.omari kapera,adolf rishad,idd msakaa,godian mapango. aisee michu hii longtime 1977 nakumbuka mwaka huu yanga alipigwa goli 6-0 na simba sport club baada ya kuondokewa na hiki kikosi kilicho unda nyota africa na baadae kuwa pan africa enzi hizo michu bado ujakuja daressalaam,

    ReplyDelete
  9. MICHUZI TUNATAKA NA TIMU ZA MIKOANI KAMA PAMBA NA NYINGINEZO ENZI HIZO. SIS WA MIKOANI TUJIGAMBE

    ReplyDelete
  10. baadhi ya waliosimama:
    Mohamed Rishard "adolf" kassim manara,mohamed mkweche,ally yusuf,juma pondamali "mensah"

    baadhi ya waliochuchumaa:
    gordian mapango,mohamed yahaya "tostao", kitwana manara "popat"

    timu hiyo ilikuwa chini ya kocha ramadhani kilambo.

    ReplyDelete
  11. waliosimama kulia kocha athman kilambo,-adolph rishard,kassim manara,-juma pondamali,m.mkweche,---. wliochini kulia ni -,-, omari kapera,jella mtagwa,gordian mapango,m.tostao na kitwana manara. huyu mdau kitwana kaanza kucheza miaka ya 1950s alianza kipa wa stars. hapa ukitazama alikuwa miaka ya arobaini na kadhaa na bado alikuwa beast. ndugu kassim uko wapi? unakumbuka enzi zetu za barabara ya saba DOM simu yangu (425-286-6859)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...