mratibu na mc wa tua ya wanaume halisi, tayana, akiwa na msanii chidi boy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Ndio nini Kuonyesha Chupi? wewe "Woman" huna aibu?

    ReplyDelete
  2. unaonyesha kiatu cha G Unit...hahahaha kimechoka.

    ReplyDelete
  3. Wewe Michuzi weka hili tangazo la kifo
    Especial Announcement
    Date: Mon, 9 Apr 2007 16:44:56 +0100
    From: "Chitenge, Fatima" fchitenge@kpmg.com Add to Address Book Add Mobile Alert
    To: info@bongoradio.com
    Please If you can make me this anouncement by Radio.

    I am writing from Angola Luanda to announce the Death of Muhammad Ragabi Mbewla Samgaia from Tanga- Handeni

    I am looking for his family in Des es salaam the nephew called Ismail Uweji and Abdala Uweji who leaved in Street Magomeni

    And his mother is called Mwajuma Sharehe from Tanga and a brother called Shabani still in Tanga please my phone contact is 244 924126037.

    If ou can make the announcement in Kiswahili as well.

    Thanks very much Bongo Radio I am counting on you for this help coz I hear a lot of young people in Tanzania listen to this Radio.

    (Iam the wife of this Muhammad)

    ReplyDelete
  4. bongo bwana mambo kinyume nyume, demu kavaa raba za g-unit za kiume halafu anazionyesha kwenye picha, mchizi nae kavaa snicker za kike halafu anakula pozi, lol inachekesha sana

    ReplyDelete
  5. Naona Tayana ana-show Off Kicks za G-Unit....Hivi kweli Alinyoa Nywele Kwa Kulazimishwa?

    ReplyDelete
  6. Mh mh mh Huo mguu hapo...Conscious or unententionally???????????

    ReplyDelete
  7. woman good job lakini tunakumiss sana kule young african..rudi basi ukimaliza tour tunakusubiri maana tunapenda huo mdomo mchafu unaowatukana kina Dumi na wenzake

    ReplyDelete
  8. Huyu Tayana mbona kigeugeu.Si alikuwa na EAST COAST MEMBA? Sasa imekuwaje yupo na WANAUME?

    ReplyDelete
  9. michuzi nirushe na namba ya tayana nna ishu ya biashara nataka tuongee tafadhali sheikh!

    ReplyDelete
  10. Haya mambo sijui yanakwendaje jamani, sasa huyu Tayana kutuonyesha lichupi lake maana yake nini? Na huyu kaka nae pi, naomba wawe wanaangalia dress codes ili wajue nini unavaa wapi na cha jinsia gani.

    ReplyDelete
  11. No offense to Tayana,but those kicks are from Gunits mens line lol

    ReplyDelete
  12. acheni kumuwangia tayana,mademu kibao hapa marekani wanavaa raba za kiume,mtu yoyote ambaye anakaa marekani au ameshawahi kufika marekani anajua hilo,tayana umetoka pina vilevile.

    ReplyDelete
  13. Sir Issa vipi Mzee, huyu dada kalipia.

    ReplyDelete
  14. we anon Thursday, April 12, 2007 3:18:00 AM, sijui unakaa marekani ya wapi? sijawahi kuona demu anavaa kiatu cha kiume hapa. hapa marekani we wear to impress not just to cover ourselves mtu anachagua kiatu na size anayotaka hakuna kubahatisha ukiona ni G-unit brand basi unavaa hata kama ni cha kiume
    we labda unapoishi kuna ma-lesbian kibao wanaovaa kiume ndo unashindwa kutofautisha

    ReplyDelete
  15. nakaa marekani ya USA na hilo nimeshaliona kwa wasichana walio straight na siyo malesbian wanavaa jordan za kiume sababu wanasema zinavutia,na wanatoka pina vilevile!

    ReplyDelete
  16. Wewe "Woman" kumbe mshamba mie nilifikiri ni mjanja..sasa ndio nini kuonyesha hiyo Granny's underwear? Piga Thongs za kueleweka au Ma G String

    ReplyDelete
  17. Jamani yaani mmezoom mpaka mkaona amevaa raba design gani. Mbona kapendeza tu ila alivyoachia hiyo gagulo huko nyumba, Na ukimwangalia umri wake haviendani. Hayo mambo yakuonyesha nguo hizo ni za preteen au watu waprojects tu.

    ReplyDelete
  18. Duh! Bongo Kweli noma...sasa Jamani kavaa Raba za Kike..na huyu demu kavaa Raba za Kiume? ahahaha Raha sana bongo...Kwenye Club pia unakutana na mademu wengine wamevaa night gowns ..au wengine wamevaa Bowling Shoes..patamu hapo.

    ReplyDelete
  19. Nakubaliana na Mjanja demu akipiga Thong au G-String halafu akaionyesha kidogo juu ya Jeans au hata Skirt hupendeza na kuonekana so Sexy. Ni kama vile demu anapoonyesha kidogo Belly Chain au Shanga kwenye jeans, it looks so exotic and sexy.

    Ila huyu demu kakosea kutuvalia Gradma Panties yaani it looks so disgusting.

    ReplyDelete
  20. Juma Nature aibiwa Sh4m Mwanza

    Na Paulina David, Mwanza

    MSANII wa kizazi kipya Juma Kassim ama Juma Nature (27) juzi aliibiwa Sh4milioni jijini hapa.

    Msanii huyo aliibiwa fedha hizo katika Hoteli ya Dabuya iliyoko maeneo ya Uhuru jijini hapa ambapo alikuwa amefikia.

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Zelothe Stephen aliwambia waandishi wa habari jana ofisini kwake kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 10 majira ya saa 10:00 jioni katika Hoteli ya Dabuya ambapo msaanii huyo alifikia.

    Kamanda Zelothe alisema kuwa siku ya tukio Juma aliweka Sh4milioni chini ya godoro na kwenda matembezini na aliporudi usiku aliangalia fedha hizo na hakuzikuta na hivyo kutoa taarifa polisi.

    Kamanda huyo alisema kuwa katika tukio hilo wanamshikilia muhudumu wa hotel hiyo, Halima Mustapha mkazi wa nyegezi kwa mahojiano zaidi.

    Hata hivyo, kamanda Zelothe alisema kuwa kutokea kwa tukio hilo ni uzembe wa msanii huyo kwa kuwa hawezi kukaa na kiasi kikubwa cha fedha hizo hotelini.

    Alisema kuwa hadi hivi sasa hakuna pesa yoyote iliyopatikana na uchunguzi zaidi juu ya tukio hilo unafanyika.

    ReplyDelete
  21. hiwahusu,ma g string ma diva mnayajua nyinyi kwani wangapi wanaonesha utupu wao,demu umetoka mukide kinoma na wewe mshikaji hizo gogozi zimekutoa. big up!!

    ReplyDelete
  22. dada jaribu kumechisha kidogo au sio,lakini umependeza

    ReplyDelete
  23. WEWE "Tarehe Thursday, April 12, 2007 10:43:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous

    nakaa marekani ya USA na hilo nimeshaliona kwa wasichana walio straight na siyo malesbian wanavaa jordan za kiume sababu wanasema zinavutia,na wanatoka pina vilevile!"
    Wewe unasema mademu wanavaa viaatu vya kiume mtoni..Sasa huyu mshikaji aliyejiachia FULL SHANGWE ana viatu vya Kike naye utamtetea vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...