Home
Unlabelled
tayana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndio nini Kuonyesha Chupi? wewe "Woman" huna aibu?
ReplyDeleteunaonyesha kiatu cha G Unit...hahahaha kimechoka.
ReplyDeleteWewe Michuzi weka hili tangazo la kifo
ReplyDeleteEspecial Announcement
Date: Mon, 9 Apr 2007 16:44:56 +0100
From: "Chitenge, Fatima" fchitenge@kpmg.com Add to Address Book Add Mobile Alert
To: info@bongoradio.com
Please If you can make me this anouncement by Radio.
I am writing from Angola Luanda to announce the Death of Muhammad Ragabi Mbewla Samgaia from Tanga- Handeni
I am looking for his family in Des es salaam the nephew called Ismail Uweji and Abdala Uweji who leaved in Street Magomeni
And his mother is called Mwajuma Sharehe from Tanga and a brother called Shabani still in Tanga please my phone contact is 244 924126037.
If ou can make the announcement in Kiswahili as well.
Thanks very much Bongo Radio I am counting on you for this help coz I hear a lot of young people in Tanzania listen to this Radio.
(Iam the wife of this Muhammad)
bongo bwana mambo kinyume nyume, demu kavaa raba za g-unit za kiume halafu anazionyesha kwenye picha, mchizi nae kavaa snicker za kike halafu anakula pozi, lol inachekesha sana
ReplyDeleteNaona Tayana ana-show Off Kicks za G-Unit....Hivi kweli Alinyoa Nywele Kwa Kulazimishwa?
ReplyDeleteMh mh mh Huo mguu hapo...Conscious or unententionally???????????
ReplyDeletewoman good job lakini tunakumiss sana kule young african..rudi basi ukimaliza tour tunakusubiri maana tunapenda huo mdomo mchafu unaowatukana kina Dumi na wenzake
ReplyDeleteHuyu Tayana mbona kigeugeu.Si alikuwa na EAST COAST MEMBA? Sasa imekuwaje yupo na WANAUME?
ReplyDeletemichuzi nirushe na namba ya tayana nna ishu ya biashara nataka tuongee tafadhali sheikh!
ReplyDeleteHaya mambo sijui yanakwendaje jamani, sasa huyu Tayana kutuonyesha lichupi lake maana yake nini? Na huyu kaka nae pi, naomba wawe wanaangalia dress codes ili wajue nini unavaa wapi na cha jinsia gani.
ReplyDeleteNo offense to Tayana,but those kicks are from Gunits mens line lol
ReplyDeleteacheni kumuwangia tayana,mademu kibao hapa marekani wanavaa raba za kiume,mtu yoyote ambaye anakaa marekani au ameshawahi kufika marekani anajua hilo,tayana umetoka pina vilevile.
ReplyDeleteSir Issa vipi Mzee, huyu dada kalipia.
ReplyDeletewe anon Thursday, April 12, 2007 3:18:00 AM, sijui unakaa marekani ya wapi? sijawahi kuona demu anavaa kiatu cha kiume hapa. hapa marekani we wear to impress not just to cover ourselves mtu anachagua kiatu na size anayotaka hakuna kubahatisha ukiona ni G-unit brand basi unavaa hata kama ni cha kiume
ReplyDeletewe labda unapoishi kuna ma-lesbian kibao wanaovaa kiume ndo unashindwa kutofautisha
nakaa marekani ya USA na hilo nimeshaliona kwa wasichana walio straight na siyo malesbian wanavaa jordan za kiume sababu wanasema zinavutia,na wanatoka pina vilevile!
ReplyDeleteWewe "Woman" kumbe mshamba mie nilifikiri ni mjanja..sasa ndio nini kuonyesha hiyo Granny's underwear? Piga Thongs za kueleweka au Ma G String
ReplyDeleteJamani yaani mmezoom mpaka mkaona amevaa raba design gani. Mbona kapendeza tu ila alivyoachia hiyo gagulo huko nyumba, Na ukimwangalia umri wake haviendani. Hayo mambo yakuonyesha nguo hizo ni za preteen au watu waprojects tu.
ReplyDeleteDuh! Bongo Kweli noma...sasa Jamani kavaa Raba za Kike..na huyu demu kavaa Raba za Kiume? ahahaha Raha sana bongo...Kwenye Club pia unakutana na mademu wengine wamevaa night gowns ..au wengine wamevaa Bowling Shoes..patamu hapo.
ReplyDeleteNakubaliana na Mjanja demu akipiga Thong au G-String halafu akaionyesha kidogo juu ya Jeans au hata Skirt hupendeza na kuonekana so Sexy. Ni kama vile demu anapoonyesha kidogo Belly Chain au Shanga kwenye jeans, it looks so exotic and sexy.
ReplyDeleteIla huyu demu kakosea kutuvalia Gradma Panties yaani it looks so disgusting.
Juma Nature aibiwa Sh4m Mwanza
ReplyDeleteNa Paulina David, Mwanza
MSANII wa kizazi kipya Juma Kassim ama Juma Nature (27) juzi aliibiwa Sh4milioni jijini hapa.
Msanii huyo aliibiwa fedha hizo katika Hoteli ya Dabuya iliyoko maeneo ya Uhuru jijini hapa ambapo alikuwa amefikia.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Zelothe Stephen aliwambia waandishi wa habari jana ofisini kwake kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 10 majira ya saa 10:00 jioni katika Hoteli ya Dabuya ambapo msaanii huyo alifikia.
Kamanda Zelothe alisema kuwa siku ya tukio Juma aliweka Sh4milioni chini ya godoro na kwenda matembezini na aliporudi usiku aliangalia fedha hizo na hakuzikuta na hivyo kutoa taarifa polisi.
Kamanda huyo alisema kuwa katika tukio hilo wanamshikilia muhudumu wa hotel hiyo, Halima Mustapha mkazi wa nyegezi kwa mahojiano zaidi.
Hata hivyo, kamanda Zelothe alisema kuwa kutokea kwa tukio hilo ni uzembe wa msanii huyo kwa kuwa hawezi kukaa na kiasi kikubwa cha fedha hizo hotelini.
Alisema kuwa hadi hivi sasa hakuna pesa yoyote iliyopatikana na uchunguzi zaidi juu ya tukio hilo unafanyika.
hiwahusu,ma g string ma diva mnayajua nyinyi kwani wangapi wanaonesha utupu wao,demu umetoka mukide kinoma na wewe mshikaji hizo gogozi zimekutoa. big up!!
ReplyDeletedada jaribu kumechisha kidogo au sio,lakini umependeza
ReplyDeleteWEWE "Tarehe Thursday, April 12, 2007 10:43:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeletenakaa marekani ya USA na hilo nimeshaliona kwa wasichana walio straight na siyo malesbian wanavaa jordan za kiume sababu wanasema zinavutia,na wanatoka pina vilevile!"
Wewe unasema mademu wanavaa viaatu vya kiume mtoni..Sasa huyu mshikaji aliyejiachia FULL SHANGWE ana viatu vya Kike naye utamtetea vipi?