This is a converstaion in White House Between George Bush and one of the staff
George: Condi! Nice to see you. What's happening?
Condi: Sir, I have the report here about the new leader of China.
George: Great. Lay it on me.
Condi: Hu is the new leader of China.
George: That's what I want to know.
Condi: That's what I'm telling you.
George: That's what I'm asking you. Who is the new leader of China?
Condi: Yes.
George: I mean the fellow's name.
Condi: Hu.
George: The guy in China.
Condi: Hu.
George: The new leader of China.
Condi: Hu.
George: The main man in China!
Condi: Hu is leading China.
George: Now whaddya' asking me for?
Condi: I'm telling you, Hu is leading China.
George: Well, I'm asking you. Who is leading China?
Condi: That's the man's name.
George: That's who's name?
Condi: Yes.
George: Will you, or will you not, tell me the name of the new leader ofChina?
Condi: Yes, sir.
George: Yassir? Yassir Arafat is in China? I thought he's dead in the MiddleEast.
Condi: That's correct.
George: Then who is in China?
Condi: Yes, sir.
George: Yassir is in China?
Condi: No, sir.
George: Then who is?
Condi: Yes, sir.
George: Yassir?
Condi: No, sir.
George: Look Condi. I need to know the name of the new leader of China. Get me the Secretary General of the U.N. on the phone.
Condi: Kofi?
George: No, thanks.
Condi: You want Kofi?
George: No.
Condi: You don't want Kofi.
George: No. But now that you mention it, I could use a glass of milk. And then get me the U.N.
Condi: Yes, sir.
George: Not Yassir! The guy at the U.N.
Condi: Kofi?
George: Milk! Will you please make the call?
Condi: And call who?
George: Who is the guy at the U.N?
Condi: Hu is the guy in China.
George: Will you stay out of China?!
Condi: Yes, sir.
George: And stay out of the Middle East! Just get me the guy at the U.N.
Condi: Kofi.
George: All right! With cream and two sugars. Now get on the phone


this is real dumbfound, mind-boggling and even far-fetched!,
ReplyDeletekuna watu wana akili jamani, mtu kukaa na kutunga kitu kama hiki inaonyesha watu bongo zinachemka, sio baadhi ya watz wenzangu kazi ni kukaa kijiweni nakuongea ujinga ujinga tu, kushughulisha akili zao kwa mambo yasiyo na maana,
mtakao nipinga poa tu hayo ni maoni yangu, na labda na nyie mtakuwa hamjaelewa kama bwana george,
hala hala majina tunayowapa watoto wetu, yasije yakaleta tafarani! haha haaaaaaaa pole bwana bush
michuzi samahani, isije kuwa kina george tuko wengi, heading ya habari ni kichaka au kicheko?? ni hilo tu, kazi njema.
ReplyDeleteMichuzi sasa naona unaanza kuishiwa point. kama vipi funga haka kablog kako kabisa manake huna jipya kwa sasa. Kwa habari hii nini lengo lako hasa ulilokusudia kwa jamii?
ReplyDeleteBrandmuge umetoa pumba tupuu!! Akili gani ktk joke hiyo?? Huoni kuwa nayo ni story ya kijiweni?? Majina??? Hapa si issue ya majina bali ni lugha. Kwasababu kwa majina hayo hayo ya akina "hu", "Yassir", "kofi" etc kama wangelikuwa wanaongea kwa kiswahili kusingekuwa na tatizo la MAJINA tena.
ReplyDeleteMsishangae kuwa huenda ilitokea kweli. Juzi alienda South America na kukosea jina la rais wa nchi aliyokuwa. Pia aliwahi kwenda Latin America, na alisema, "I'm sorry I don't speak Latin!" Pia katamka mambo mengi ya ajabu tangia awe rais mpaka unauliza kama jamaa ana akili timamu.
ReplyDeleteNi kweli Chemi-Che Mponda huyu jamaa aliwahi kuulizwa kuhusu Wairaq,alijibu kuwa anachojua ni kuwa wote ni Waislamu,pasipo kujua kuwa ni Waislamu waliogawanyika ie Washia na Wasunni
ReplyDeleterevd evm au mchungaji, sawa inaweza kuwa story ya kijiweni lakini bado ina akili, na lugha haswa ndo imeifanya iwe 'mundane' kwani kingekuwa kiswahili hu ingemaanisha who??, so ndo mana hiyo joke iko kwa kithungu na sio kiswahili,
ReplyDeletepoint yangu kubwa ilikuwa ni bora mtu kuwa creative kuliko kukaa kijiweni nakuongea mambo yasiyofaa, by the way, kama umeshindwa kuliona hilo huo u revd sijui inaichambuaje bibl... lol!!
hiyo ni jokes iliyokwenda shule, kalaga baho.
Some corrections
ReplyDeleteAnony hapo juu, huwezi kusema 'hiyo ni jokes, iliyokwenda shule wakati unaiongelea 'joke' moja tu. Pluralization should have changed the entire construction eg. hizo jokes zimetulia, hiyo joke imetulia nk.
Pili, uliyeandika una creativity. Lakini nawe umechemka kiasi, najua hunibishii kwa hilo. Huwezi kusema 'whatddya asking'. Kwanza spelling ya hiyo slang or rather colloqialism, ni whatddaya, na haiendi na 'ASKING' badala yake ingekuwa "whatddaya ask". Kwani "whatddaya = what do you". Kama hivo ndivyo, huwezi kusema 'what do you asking, ila, what do you ask. Najua sio kosa lako, hujazaliwa na English kama mimi, ila umejitahidi.
POA MAZEE.