klabu kongwe minnesota

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. naomba kuuliza minnesota hapa inatumikaje newala kwa new york, Ukerewe kwa UK sawa ila MN hapa mmeniacha nisaidieni mwenzenu....

    ReplyDelete
  2. aaahh chama la long time hilo, toto african, enzi wanapiga zoezi lake secondary.
    thanks michuzi unanikumbusha maisha ya mza, enzi za salma cone pembeni hapo.
    watoto wa kuleana wapo?
    tuwekee basi shule ya msingi NYANZA basi michuziii

    ReplyDelete
  3. Kaka Michu nakumbuka enzi hizo Mkoa wa Mwanza unatamba sana katika soka, watu walikuwa tayari kukatwa shilimgi kwa kila kilo ya pamba kuichangia timu zao, mamjina kama Mao Mkamy, Geogre Masatuy Magere, Zig Zag John Makerere, Fumo Felician, na wengineo kaka walitamba sana wengi walitoka huko wakaenda kuuliwa vipaji na Simba na Yanga, Mwanza bado mnayo nafasi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...