wadau wa bwawa la maini bongo wameamua kufungua tawi la wapenzi ambalo litajulikana kama bongoreds. hivi sasa mchakato umeshaanza ya kulisajili tawi hilo baada ya kupata wanachama wasiopungua 25. hivyo wenye nia ya kujiunga na bongords waniandikie issamichuzi@gmail.com na jaribuni kuwahi maana tunataka tuwahi fainali..... hahahaa watani zetu mlie tu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2007

    Aaah, wabongo bwana! Kazi kupenda vya wenzetu tu, vyakwetu mmmm! Sawa, ni upenzi lakini jamani, untili weni????

    Anyway, goodluck against AC Milan manake Mashetani Wekundu wa Manchester wanafundishwa mpira wa kiItaliano - AC Milan wanacheza na kuonana utafikiri ni Mizinga ya Arsenal imevaa jezi za AC Milan!!

    We, the Gunners, will be back next year, beleive you me!

    Yanga Afrika, Yanga Afrika, wafungeni hao El Merreikh wajifunze kuwa genocide against a defensless people imepitwa na wakati na sii fresh!! GO YANGA, AND BEST OF LUCK!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2007

    Kaka Michuzi huyu bwana namjua huyu ni Ustaadhi Kipukuswa Simba damu huyu msela, rafiki yangu sana huyu bwana Simba damu!! Mpe hi kinoma mwambie Dokta anakusalimia sana atakubuka!!
    Hongereni na tawi lenu ingawa jana tumefungwa kwa taabu lakini ndio mpira tena. Ole wao Milan!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...