
wadau wa bwawa la maini bongo wameamua kufungua tawi la wapenzi ambalo litajulikana kama bongoreds. hivi sasa mchakato umeshaanza ya kulisajili tawi hilo baada ya kupata wanachama wasiopungua 25. hivyo wenye nia ya kujiunga na bongords waniandikie issamichuzi@gmail.com na jaribuni kuwahi maana tunataka tuwahi fainali..... hahahaa watani zetu mlie tu.


Aaah, wabongo bwana! Kazi kupenda vya wenzetu tu, vyakwetu mmmm! Sawa, ni upenzi lakini jamani, untili weni????
ReplyDeleteAnyway, goodluck against AC Milan manake Mashetani Wekundu wa Manchester wanafundishwa mpira wa kiItaliano - AC Milan wanacheza na kuonana utafikiri ni Mizinga ya Arsenal imevaa jezi za AC Milan!!
We, the Gunners, will be back next year, beleive you me!
Yanga Afrika, Yanga Afrika, wafungeni hao El Merreikh wajifunze kuwa genocide against a defensless people imepitwa na wakati na sii fresh!! GO YANGA, AND BEST OF LUCK!!
Kaka Michuzi huyu bwana namjua huyu ni Ustaadhi Kipukuswa Simba damu huyu msela, rafiki yangu sana huyu bwana Simba damu!! Mpe hi kinoma mwambie Dokta anakusalimia sana atakubuka!!
ReplyDeleteHongereni na tawi lenu ingawa jana tumefungwa kwa taabu lakini ndio mpira tena. Ole wao Milan!!