Home
Unlabelled
che mundugwao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Halali yake. Huyu bwana ametoka mbali na miziki ya kiasili. Kumbuka
ReplyDeletetangia anamleta Luiza Mbutu wa Twanga Pepeta toka Mahenge....!!!
kuna vibao vyake matata sana, mapendo ?! sijui ile kanda yake inaitwaje, lakini najua jamaa ana kipaji.
ReplyDeleteHuyo mwanadada amevaa nini kichwani? Ndio style gani hii
ReplyDeleteMichuzi suit yako uliacha wapi??? Mimi nataka niwe stylist wako unanguo nzuri nyingi tu lakini hujui kuzipangilia na wakati wake....hivi ulivyovyaa kwenye hii ulionekana hauko so serious
ReplyDeleteSir Issa HII PICHA INAVUUTIA KAKA..HUYO DADA ANAUMBO ZURI TU..LAKINI MBUNIFU WA MAVAZI YAKE.."KICHWANI"..VERY KRIETIVU..NDIO INAITWA NINI HIYO KAKA..".
ReplyDeleteiyo ni kofia style ya utajiju
ReplyDeleteSir Issa..NASHUKURU SANA Wednesday, May 30, 2007 8:52:00 PM NAFIKIRI NIKWELI HII STAILI INAITWA.."..UTAJIJU.."..INAMVUUTO WA PEKEE..SHUKRANI..
ReplyDelete