bosi wa tbl david mgwasa akimkabidhi che mundugwao tuzo ya wimbo bora wa asili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Halali yake. Huyu bwana ametoka mbali na miziki ya kiasili. Kumbuka
    tangia anamleta Luiza Mbutu wa Twanga Pepeta toka Mahenge....!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2007

    kuna vibao vyake matata sana, mapendo ?! sijui ile kanda yake inaitwaje, lakini najua jamaa ana kipaji.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2007

    Huyo mwanadada amevaa nini kichwani? Ndio style gani hii

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    Michuzi suit yako uliacha wapi??? Mimi nataka niwe stylist wako unanguo nzuri nyingi tu lakini hujui kuzipangilia na wakati wake....hivi ulivyovyaa kwenye hii ulionekana hauko so serious

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2007

    Sir Issa HII PICHA INAVUUTIA KAKA..HUYO DADA ANAUMBO ZURI TU..LAKINI MBUNIFU WA MAVAZI YAKE.."KICHWANI"..VERY KRIETIVU..NDIO INAITWA NINI HIYO KAKA..".

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2007

    iyo ni kofia style ya utajiju

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2007

    Sir Issa..NASHUKURU SANA Wednesday, May 30, 2007 8:52:00 PM NAFIKIRI NIKWELI HII STAILI INAITWA.."..UTAJIJU.."..INAMVUUTO WA PEKEE..SHUKRANI..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...