ama hakika staili za dada zetu siku hizi zinatia raha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2007

    Mimi na husudu mwanamke akiweka chain kwenye mguu mmoja akiweka miguu yote naona kama uchafu vile.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2007

    Cheni zina maana yake hapo mguuni, uliza watu wa mambasa watakwambia maana ya cheni mguuni ni nini. na ikikaa vipi inakuwa nini. patamu hapooooo!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2007

    Hilo ni papa la Dar!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2007

    unakula kuku au unakula Bata!? au wala vyote!? Mambo juu ya mambo! Pazuri hapo!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2007

    migulu baja!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2007

    Vijana naona mnashindwa kuelewa kuna mtu hapa kasema kuvaa cheni mbili mguuni anaona uchafu kwani ukichafuka si wenda oga sasa kunani , kwa ujuzi nonao naweza sema hata nakshi huchafuka sasa watashi watakwambia kuwa ni kazi ndogo tuu yataka utukutu kwa wajuzi wa mambo wananena kama ni saizi onja halafu jibu litakuwa tena na tena ndo maanake

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2007

    cheni safi mwanamke mguu mmoja yaani kuku amekata kamba...hii miguu uliyoweka michuzi ni ya kizee haivutii kabisa. Miguu haijaona Pedicure haivutii kabisa..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2007

    kwa kweli miguu imependeza sana.. duuh! kwa maana ya cheni za miguu... huwezi zuia mtu yoyote kufikiri anacho taka.. na hilo ndio tatizo la waswahili...hakuna cha mombasa wala Kilindi... Mwanamke raha jipe mwenyewe....

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2007

    mh! kwa nini watu huwa wanafikiria tu mambo mabaya.eti waulize watu wa mombasa . mbona wahindi wanavaa cheni miguu miwili na wamasai wanavaa shabga za miguu yote miwili. wegnine wanavaa kwa mila na kwa wamasai nasikia ukivaa mguu mmoja bado hajaolewa akivaa wa pili anakuwaameshaolewa.
    jamani tufuate mila na desturi zetu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2007

    mungu wangu miguu baja halafu sandals mbaya sana jamani.............nani kakwambia ukubali kupigwa picha miguuni huku hujasafisha miguu yako?EBO

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2007

    Jamani tuwe wakweli huo mguu umetulia angalia ulipoanzia, na cheni haina lolote inalomaanisha mwanamke kujilemba kama huwezi kumnunulia wako tuache nyodo.
    Huyo dada msafi angalia kucha kucha zimetulia sasa mnataka nini??
    Kina dada jipambe tuuuuuu

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2007

    we issa we, hivi huyu mama akiji recognize akaku sue utafanya nini? angalia baba usije uza kibanda cha babu yako kisiju!!!kalagha bao!

    ReplyDelete
  13. Kama ni kum-sue Issa basi ingekuwa amepiga picha yote na huyo mama anaonekana sura hapo tungesema labda inawezekana lakini hii ya miguu in what sense mtu akaja na ku-claim kuwa hiyo ni miguu yake na kuanza kum-sue mtu i dont thnk soo it want be that easy

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2007

    michu,michu,michu,michu, niomba utuambia huyu mama umempigia picha wapi sebuleni kwako hangalia asilete maneno maneno kwenye doa yako lakini tulete picha zenye kuonesha cheni ya kiunoni maana gal wangu ni mtishi so natakaone mambo ya wabongo walivyo supa anywy pia gal wangu ni supa, wacha niende home . mhmhmhmhmh

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2007

    Ana upele mwagalie mguu wa kushoto hapo chini ilipopita cheni kwa nyuma.Kama unataka kupata upele wa ukurutu ulioko miguuni.Mfuate uone utajikuna hadi ukome.

    bibi mwenyewe huyo mchovu suruali lenyewe kavaa la kaki miguu ina matege ya kupinda kama ya bata mzinga koko.Wanaume hamjui kuchagua kweli cheki kule kwenye guu la kushoto ana likucha refu chafu la kidole kikubwa cha mguuni utafikiri la kucha la ngedere.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2007

    Viatu pink, suruali green..Mh..Cheap viatu, vumbi, no pedicure..Kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2007

    Cheki miguu ilivyochoka.
    Wanaume msiwe mnaangalia sura na matako tu muwe mnaawapekua wanawake na miguuni ndipo mtajua mmepata mwanamke kijana na siyo ajuza kizee kama huyo.Ukiangalia matako na sura tu utaishia kubeba kibibi cha miaka 60 kama huyu pichani.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 22, 2007

    kwani upo wapi hapo? haupo home? na kwanini? yaani ina maana unaandika ukiwa nje ya home ahhh bwana wee fanya fanya gharamia mtandao ndani kichuzi shurti umwangalie kila unapojisikia sio mara foleni kubwa cafe au IT crew wanafanya matengenezo ya comp za ofisi..

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 22, 2007

    Zinadondoka toka juu

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 22, 2007

    We mwenye gal mtishi una check internet njiani manake ukifika nyumbani hamna ruksa kuangalia net au hamna mtandao nyumbani? Pole manake inaelekea yanayokusibu si haba.

    Wee kama unawako ndani kwanini unataka kumwonyesha mambo ya chain kiunoni ya kibongo? Yakitasha hayanogi nini unataka kuspice up na ya kibongo? Pole sio vyote ving'aavyo ni dhahabu. Totos ziko bongo shauri yenu

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 22, 2007

    he, he, he, he, mwanamama bonge la nyayo! huyo mtu kulikoni?
    anaonekana alilima sana kabla hajaja Dar na kunenepa.
    Michuzi anavaa number ngapi ya kiatu?
    Mwanamke anayevaa juu ya 39 au 5 mchunguzeni vizuri duh!

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 22, 2007

    msiwe mnaharibu staili za watu bwana kuna cheni maalum za kuvaliwa mguuni sio kila cheni unajitwika nayo tu kama huyu dada alafu ameifungia na pini, mguu wa kulia

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 23, 2007

    WEWEEEEEEEEEEEE, HAPO SASA MBELE POA NA NYUMA POA.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 23, 2007

    wabongo kwa kashfa sasa huyu dada wa watu kakosa nini lakini mpaka mumkashifu kiasi hiki jamai??!! Wengine ooh miguu haijaona padicure tangu azaliwe, hivi hizi kashfa zisizo na msingi mtaacha lini wabongo nyinyi??? Yote hii inaonyesha ni jinsi gani kuna upungufu wa kazi za kufanya kipande hicho mtu mwenye busara hawezi kutoa maneno machafu/kashfa hata siku moja. Michuzi na wewe uwe unaangalia comments za busara bwana za kupublish katika blog yako. Hamna cha papacure wala mamacure!!!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 23, 2007

    Sasa wewe unayelalamika na miye ni ulize hii picha iliwekwa ya nini? What are we getting from this picture? Watu hawakujua wanachoangalia ndio maana wakaweka comments zao za kijinga.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 24, 2007

    we anony hapo juu unaye muamuru n kumfundisha issa kupublish commentz we ni nani kwanza?unaonyesha sio mtanzania manake sie watz tushazoea uhuru wa maoni kila mtu anasema maoni yake kamahajapenda kitu ! issa angekuwa anapublish only the +ve ones hii blog ingekuwa the most boring! ktk kila sekta lazma kuwe na 2 sides...the opposing n the proposing..hata kama watu wanakandya wengine wanafanya tu hivo fo fun 2 make this blog mo intresting sasa we kama hutaki hujalazimishwa kuingia humu tena usitutolee apetite umeskia???muone kwanza sura kama.....mx&**%%%!!

    Michuzi endelea kumwaga vitu alafu pole na liverpool na uache kuchonga chonga ovyo (ohhh liver pool sijui kitu gani) washindi hawaongeagi!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 06, 2007

    Hapo kavaa kitopu cha pinki kinachofanana na viatu. Na hiyo suruali inamechisha na hiyo mistari ya katika hizo tiles..sasa mtasemaje hajamechisha? Eboo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...