Home
Unlabelled
cheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi na husudu mwanamke akiweka chain kwenye mguu mmoja akiweka miguu yote naona kama uchafu vile.
ReplyDeleteCheni zina maana yake hapo mguuni, uliza watu wa mambasa watakwambia maana ya cheni mguuni ni nini. na ikikaa vipi inakuwa nini. patamu hapooooo!!!!!!!!!
ReplyDeleteHilo ni papa la Dar!
ReplyDeleteunakula kuku au unakula Bata!? au wala vyote!? Mambo juu ya mambo! Pazuri hapo!!!!
ReplyDeletemigulu baja!!!!!
ReplyDeleteVijana naona mnashindwa kuelewa kuna mtu hapa kasema kuvaa cheni mbili mguuni anaona uchafu kwani ukichafuka si wenda oga sasa kunani , kwa ujuzi nonao naweza sema hata nakshi huchafuka sasa watashi watakwambia kuwa ni kazi ndogo tuu yataka utukutu kwa wajuzi wa mambo wananena kama ni saizi onja halafu jibu litakuwa tena na tena ndo maanake
ReplyDeletecheni safi mwanamke mguu mmoja yaani kuku amekata kamba...hii miguu uliyoweka michuzi ni ya kizee haivutii kabisa. Miguu haijaona Pedicure haivutii kabisa..
ReplyDeletekwa kweli miguu imependeza sana.. duuh! kwa maana ya cheni za miguu... huwezi zuia mtu yoyote kufikiri anacho taka.. na hilo ndio tatizo la waswahili...hakuna cha mombasa wala Kilindi... Mwanamke raha jipe mwenyewe....
ReplyDeletemh! kwa nini watu huwa wanafikiria tu mambo mabaya.eti waulize watu wa mombasa . mbona wahindi wanavaa cheni miguu miwili na wamasai wanavaa shabga za miguu yote miwili. wegnine wanavaa kwa mila na kwa wamasai nasikia ukivaa mguu mmoja bado hajaolewa akivaa wa pili anakuwaameshaolewa.
ReplyDeletejamani tufuate mila na desturi zetu.
mungu wangu miguu baja halafu sandals mbaya sana jamani.............nani kakwambia ukubali kupigwa picha miguuni huku hujasafisha miguu yako?EBO
ReplyDeleteJamani tuwe wakweli huo mguu umetulia angalia ulipoanzia, na cheni haina lolote inalomaanisha mwanamke kujilemba kama huwezi kumnunulia wako tuache nyodo.
ReplyDeleteHuyo dada msafi angalia kucha kucha zimetulia sasa mnataka nini??
Kina dada jipambe tuuuuuu
we issa we, hivi huyu mama akiji recognize akaku sue utafanya nini? angalia baba usije uza kibanda cha babu yako kisiju!!!kalagha bao!
ReplyDeleteKama ni kum-sue Issa basi ingekuwa amepiga picha yote na huyo mama anaonekana sura hapo tungesema labda inawezekana lakini hii ya miguu in what sense mtu akaja na ku-claim kuwa hiyo ni miguu yake na kuanza kum-sue mtu i dont thnk soo it want be that easy
ReplyDeletemichu,michu,michu,michu, niomba utuambia huyu mama umempigia picha wapi sebuleni kwako hangalia asilete maneno maneno kwenye doa yako lakini tulete picha zenye kuonesha cheni ya kiunoni maana gal wangu ni mtishi so natakaone mambo ya wabongo walivyo supa anywy pia gal wangu ni supa, wacha niende home . mhmhmhmhmh
ReplyDeleteAna upele mwagalie mguu wa kushoto hapo chini ilipopita cheni kwa nyuma.Kama unataka kupata upele wa ukurutu ulioko miguuni.Mfuate uone utajikuna hadi ukome.
ReplyDeletebibi mwenyewe huyo mchovu suruali lenyewe kavaa la kaki miguu ina matege ya kupinda kama ya bata mzinga koko.Wanaume hamjui kuchagua kweli cheki kule kwenye guu la kushoto ana likucha refu chafu la kidole kikubwa cha mguuni utafikiri la kucha la ngedere.
Viatu pink, suruali green..Mh..Cheap viatu, vumbi, no pedicure..Kazi kweli kweli
ReplyDeleteCheki miguu ilivyochoka.
ReplyDeleteWanaume msiwe mnaangalia sura na matako tu muwe mnaawapekua wanawake na miguuni ndipo mtajua mmepata mwanamke kijana na siyo ajuza kizee kama huyo.Ukiangalia matako na sura tu utaishia kubeba kibibi cha miaka 60 kama huyu pichani.
kwani upo wapi hapo? haupo home? na kwanini? yaani ina maana unaandika ukiwa nje ya home ahhh bwana wee fanya fanya gharamia mtandao ndani kichuzi shurti umwangalie kila unapojisikia sio mara foleni kubwa cafe au IT crew wanafanya matengenezo ya comp za ofisi..
ReplyDeleteZinadondoka toka juu
ReplyDeleteWe mwenye gal mtishi una check internet njiani manake ukifika nyumbani hamna ruksa kuangalia net au hamna mtandao nyumbani? Pole manake inaelekea yanayokusibu si haba.
ReplyDeleteWee kama unawako ndani kwanini unataka kumwonyesha mambo ya chain kiunoni ya kibongo? Yakitasha hayanogi nini unataka kuspice up na ya kibongo? Pole sio vyote ving'aavyo ni dhahabu. Totos ziko bongo shauri yenu
he, he, he, he, mwanamama bonge la nyayo! huyo mtu kulikoni?
ReplyDeleteanaonekana alilima sana kabla hajaja Dar na kunenepa.
Michuzi anavaa number ngapi ya kiatu?
Mwanamke anayevaa juu ya 39 au 5 mchunguzeni vizuri duh!
msiwe mnaharibu staili za watu bwana kuna cheni maalum za kuvaliwa mguuni sio kila cheni unajitwika nayo tu kama huyu dada alafu ameifungia na pini, mguu wa kulia
ReplyDeleteWEWEEEEEEEEEEEE, HAPO SASA MBELE POA NA NYUMA POA.
ReplyDeletewabongo kwa kashfa sasa huyu dada wa watu kakosa nini lakini mpaka mumkashifu kiasi hiki jamai??!! Wengine ooh miguu haijaona padicure tangu azaliwe, hivi hizi kashfa zisizo na msingi mtaacha lini wabongo nyinyi??? Yote hii inaonyesha ni jinsi gani kuna upungufu wa kazi za kufanya kipande hicho mtu mwenye busara hawezi kutoa maneno machafu/kashfa hata siku moja. Michuzi na wewe uwe unaangalia comments za busara bwana za kupublish katika blog yako. Hamna cha papacure wala mamacure!!!
ReplyDeleteSasa wewe unayelalamika na miye ni ulize hii picha iliwekwa ya nini? What are we getting from this picture? Watu hawakujua wanachoangalia ndio maana wakaweka comments zao za kijinga.
ReplyDeletewe anony hapo juu unaye muamuru n kumfundisha issa kupublish commentz we ni nani kwanza?unaonyesha sio mtanzania manake sie watz tushazoea uhuru wa maoni kila mtu anasema maoni yake kamahajapenda kitu ! issa angekuwa anapublish only the +ve ones hii blog ingekuwa the most boring! ktk kila sekta lazma kuwe na 2 sides...the opposing n the proposing..hata kama watu wanakandya wengine wanafanya tu hivo fo fun 2 make this blog mo intresting sasa we kama hutaki hujalazimishwa kuingia humu tena usitutolee apetite umeskia???muone kwanza sura kama.....mx&**%%%!!
ReplyDeleteMichuzi endelea kumwaga vitu alafu pole na liverpool na uache kuchonga chonga ovyo (ohhh liver pool sijui kitu gani) washindi hawaongeagi!
Hapo kavaa kitopu cha pinki kinachofanana na viatu. Na hiyo suruali inamechisha na hiyo mistari ya katika hizo tiles..sasa mtasemaje hajamechisha? Eboo
ReplyDelete