Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2007

    Kweli Michuzi nimekubali, hii IPOD ya nguvu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2007

    kichwani betri, mkononi radio,mh, high tech!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2007

    Hiyo ngoma imetulia, halafu hapo safari ya kilometa 20 kwa mguu unaona kama umekwenda mtaa wa pili tu. Muziki full charge tena ngoma za Kasongo bana wewe sopa libalaye, Kajituliza Kasuku, unamalizia na Rangi ya Chungwa.Utbana na roho yako....Hiyo ndiyo Afrika bwana, umasikini unafunza ubunifu nyie acheni...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2007

    Kweli hapa ninunue Mp3 player ya nini? hiyo ipod inatosha kabisa

    ReplyDelete
  5. Hapa nimekoma mwenyewe!Ipod hii si utani hahahaha!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2007

    Huy lazima atakuwa musukuma au mgogo.
    Hawa jamaa kwa redio hawajambo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2007

    we anonymous wa may 22 at 12:56 kuwa mstaarabu kidogo kuwa kama umelelewa na wazazi wa kibinadamu si wazazi wa kinyama weeeeeee!! rekebisha kauli yako, kutaja taja makabila ya watu ndo nini kwani? kwanza makabila hayo ndo tulio staarabika na bongo zetu zinachemka kichizi siyo bongo lala kama lako maana ungekuwa na bongo kama la msukuma au mgogo usingetoa comment za pumba namna hivi. mshenzi mkubwa weweeee.

    lazima utakuwa hujaleleka vema wewe na shule umekimbia umande na mbeba maboksi.

    na michuzi nawewe unaona ni kichekesho kuweka picha hii siyo? kuwa mstaarabu kidogo, wazee, ndugu na jamaa zetu wanatesema nyumbani na shida nyingi leo hii tunawaweka hapa na kuwasanifu na kuona ni burudani ndani ya macho yenu. kuweni na upeo wa kuona mbali nyio vichujiooooooooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...