Home
Unlabelled
ipod
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli Michuzi nimekubali, hii IPOD ya nguvu.
ReplyDeletekichwani betri, mkononi radio,mh, high tech!
ReplyDeleteHiyo ngoma imetulia, halafu hapo safari ya kilometa 20 kwa mguu unaona kama umekwenda mtaa wa pili tu. Muziki full charge tena ngoma za Kasongo bana wewe sopa libalaye, Kajituliza Kasuku, unamalizia na Rangi ya Chungwa.Utbana na roho yako....Hiyo ndiyo Afrika bwana, umasikini unafunza ubunifu nyie acheni...
ReplyDeleteKweli hapa ninunue Mp3 player ya nini? hiyo ipod inatosha kabisa
ReplyDeleteHapa nimekoma mwenyewe!Ipod hii si utani hahahaha!
ReplyDeleteHuy lazima atakuwa musukuma au mgogo.
ReplyDeleteHawa jamaa kwa redio hawajambo.
we anonymous wa may 22 at 12:56 kuwa mstaarabu kidogo kuwa kama umelelewa na wazazi wa kibinadamu si wazazi wa kinyama weeeeeee!! rekebisha kauli yako, kutaja taja makabila ya watu ndo nini kwani? kwanza makabila hayo ndo tulio staarabika na bongo zetu zinachemka kichizi siyo bongo lala kama lako maana ungekuwa na bongo kama la msukuma au mgogo usingetoa comment za pumba namna hivi. mshenzi mkubwa weweeee.
ReplyDeletelazima utakuwa hujaleleka vema wewe na shule umekimbia umande na mbeba maboksi.
na michuzi nawewe unaona ni kichekesho kuweka picha hii siyo? kuwa mstaarabu kidogo, wazee, ndugu na jamaa zetu wanatesema nyumbani na shida nyingi leo hii tunawaweka hapa na kuwasanifu na kuona ni burudani ndani ya macho yenu. kuweni na upeo wa kuona mbali nyio vichujiooooooooooo