
waandishi wakimsikiliza hasheem thabeet katika ukumbi wa habari wa maelezo leo, alipokutana nao kuwashukuru kwa ushirikiano wanaompa pamoja na kuwashukuru wabongo wote kwa kumpa matumaini kwenye anga za mpira wa kikapu huko marekani. amewataka vijana wachakarike katika kukuza vipaji na sio kuota ndoto za kutengeneza pesa kabla ya kuonesha uwezo. ameishukuru serikali ya awamu ya nne kurejeshe michezo mashuleni pamoja na kumpongeza jk kwa kupenda michezo na kuhamasisha wabongo wapende michezo pia


kaka michuzi mi ningona hiyo tangazo lako la kukaribisha hapo juu wallah ungeiondoa na kuweka matanagazo mengine japo ya kulipi.
ReplyDeleteTangazo lako ninasema tuwatch our language wakati maoni yote unayapitia kabla ya kuyaweka humu?
Basi angalau tungemake money hapo juu. Ukiweka matangazo ya biashara na watu walipe hata kwa week moja.
Michuzi nikija Bongo naomba uniandalie mkutano pale Maelezo na waandishi wa Habari, maana mimi ni msomi niliyekubuhu na nawaumiza vichwa sana wazungu.
ReplyDeleteHongera na heko kwa Hasheem.
ReplyDeleteHivi michezo ilifutwa mashuleni? Sasa namna gani irejeshwe? Somebody is grossly misinformed.....
Salam aleykum bwana Michuzi mi mdau wako kutoka DRC , naomba uturushie tena ile ile documentary video ya Idd Amin, nitashukuru sana ndugu yangu, Kila la heri. Mbote na bato nioso!
ReplyDeletemdau wa DRC naomba 2wasiliane. email yangu ni dar.millionaire@gmail.com
ReplyDelete