waandishi wakimsikiliza hasheem thabeet katika ukumbi wa habari wa maelezo leo, alipokutana nao kuwashukuru kwa ushirikiano wanaompa pamoja na kuwashukuru wabongo wote kwa kumpa matumaini kwenye anga za mpira wa kikapu huko marekani. amewataka vijana wachakarike katika kukuza vipaji na sio kuota ndoto za kutengeneza pesa kabla ya kuonesha uwezo. ameishukuru serikali ya awamu ya nne kurejeshe michezo mashuleni pamoja na kumpongeza jk kwa kupenda michezo na kuhamasisha wabongo wapende michezo pia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    kaka michuzi mi ningona hiyo tangazo lako la kukaribisha hapo juu wallah ungeiondoa na kuweka matanagazo mengine japo ya kulipi.

    Tangazo lako ninasema tuwatch our language wakati maoni yote unayapitia kabla ya kuyaweka humu?

    Basi angalau tungemake money hapo juu. Ukiweka matangazo ya biashara na watu walipe hata kwa week moja.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    Michuzi nikija Bongo naomba uniandalie mkutano pale Maelezo na waandishi wa Habari, maana mimi ni msomi niliyekubuhu na nawaumiza vichwa sana wazungu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2007

    Hongera na heko kwa Hasheem.

    Hivi michezo ilifutwa mashuleni? Sasa namna gani irejeshwe? Somebody is grossly misinformed.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2007

    Salam aleykum bwana Michuzi mi mdau wako kutoka DRC , naomba uturushie tena ile ile documentary video ya Idd Amin, nitashukuru sana ndugu yangu, Kila la heri. Mbote na bato nioso!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2007

    mdau wa DRC naomba 2wasiliane. email yangu ni dar.millionaire@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...